Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Waungwana, Salaaammm kwa wingi. Naulizia kwa mwenye taarifa mahali mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania ambapo wanafundisha Certified Information Systems Audit (CISA) kama Reviw Class au vinginevyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
DAH! KWELI WAZUNGU NOMA, TAZAMA HII NDEGE ISIYO NA RUBANI INAVYOTUMIKA KUSIMAMIA MITIHANI Ndege isiyo na rubani (drone) yatumika kusimamia mitihani Shule moja ya nchi Ubelgiji imeamua kutumia...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
wakuu natumia BB 9900,. Naombeni msaada wenu ni jinsi gani naweza kutumia Megabytes ninazopewa kutokana na bundle za kawaida ninazonunua tofauti na kujiunga na special bundle kwa ajili ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi kuna mtu anauza samsung pocket for Tshs 120000/= na ace for Tshs 170.000/= nkizilinganisha sifa nkilingaanisha sifa ktk procesor na memory POCKET MKUBWA SIJAJUA kwann bei ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
habari wataalam.... heshima kwenu..... wadau kwa kweli hii desktopyangu sasa inanipa hasira sana karibu niibwage chini.. inamatatizo yafuatayo.. 1. haifungui website ya google, inaniandikia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Laptop yangu ina parttion 4,drive C nimewka OS ya W7,D na documents E nimeformat nataka kuistall window server ila nikifika sehemu ya kuchagua drive yakuistall naziona drive Can D...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika chat chat na watu nimekutana kuna watu wana Line 079****** nikawa nawauliza ni mtandao gani huu ndo wakanambia ni BOL wakasema wana promotion za kufa mtu e.g unapakua freely apps kutoka...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Msaada jamani nina siku mbili simu inagoma kufungua net.Katika upande wa Configurations kuko empty,so help jinsi ya kumaliza hili tatizo.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu pc yangu ilikuwa inaonesh herufi ndogo sana kwenye screen, kwahyo nkaamua kuifanyia setting, Nikaenda kwenye properties nkafanya marekebisho kidogo, nkaona nikapata ujumbe fulani kama ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu naomba mtu anaweza akanisaidia kupata link ya kudownload hiyo program ya AutoCAD ya mwaka 2009 english version kwa ajili ya 64 bit kwenye windows 7, nimejaribu angalia naona kila mahali ipo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakubu naomba kujuzwa ni kwa gharama gani na wapi naweza pata solar system + inverter itakayoweza kuzalisha umeme kwa ajili ya matumizi kwenye nyumba yenye vifaa vifuatavyo: 1 deep freezer; 1...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wenu jinsi ya kutumia internet bure simu yangu tecno
0 Reactions
17 Replies
4K Views
bongofreva mpya ni download wapi mazee?
0 Reactions
9 Replies
8K Views
heshima zenu wakuu simu changu ina tatizo la kushika 3g nimeshaipeleka vd tigo wote wameshindwa tatua tatizo mwengine kanambia itakuwa imekosewa kiwandani ila ukikaa mda flan inadisplay g na line...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wenu jinsi ya kuanclock simu ya Huawei U8100. kwa sasa baada ya kujaribu kuweka unlock key imelock na inatoa hii message "SIMLOCK block unlock reset KEY" na IMEI yake ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Computer ya kwangu ni Dell Latitude naipenda sana jamani tangu 2007 ninayo na haijawahi kunisumbua kwa lolote mpaka jana ndo nimeshangaa kweli. tatizo haipitishi chag wala kuserve moto..adaptor...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujuzwa nikichomeka simu yangu kwenye computer naambiwa "usb not recognized" nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
$2,400 “Introduction to Linux” course will be free and online this summer Earlier this week, The Linux Foundation announced that it would be working with edX, a non-profit online learning site...
1 Reactions
0 Replies
680 Views
KENYA IMETAJWA KAMA NCHI YA NNE KATI YA KUMI ZENYE MATUMIZI MAKUBWA YA INTERNET, SOMA ZAIDI HAPA Internet access has yet to reach more than 50% of Africans, but the continent’s connectivity...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni msaada juu ya ku unlock hii model ya simu ili niweze tumia line zote.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom