Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu salaam: Wakuu,laptop yangu ina partion nne (4) Drive(C) niwemeka OS ya W7,D kuna documents E iko empty na ndiko ninakotaka kuistall Wserver2008 then G pia ina doc,Tatizo linakuja pale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi Nataka kuja Dar miongoni mwa mambo yanayonileta huko ni kununua smartphone original yenye Memory ya GB 8 na kuendelea OS iwe android 4.1 version camera 8pixes Fedha...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kila nikidownload picha,video and audio inagoma kabisa natumia galaxy s3,ila sms natuma na kupokea fresh kabisa...nisaidieni wadau..
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau huu ni ushauri tuu kwa wale ambao wanajiheshimu na kuheshimiwa na Wanajielewa na Kueleweka! . 2go ni Chatting Space inayo jumuisha watu tofauti tofauti..... . Lakini nnacho kizungumzia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakati nikiwa na nokia 6700 nilikuwa naweza kusoma magazeti kupitia operamin lakini sasa nina nokia asha 311 operamin yake haiwezi kusoma magazeti' naomba kufundishwa wanajf asante.
0 Reactions
0 Replies
781 Views
wakati nikiwa na nokia 6700 nilikuwa naweza kusoma magazeti kupitia operamin lakini sasa nina nokia asha operamin yake haiwezi kusoma magazeti' naomba kufundishwa wanajf asante.
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Waungwana nataka nitumie line ya airtel kwene modem ya voda nifanyeje hii mdem ni ya huawei
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Hi to you all Wakuu hivi kama una email e.g info@njunwa.com unaitumia vipi kujibu email na kusoma email Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Lectures nzuri sana kutoka katika vyuo mbalimbali duniani hua zipo online, as Tanzania siku hizi inazidi kudevelop katika swala la Internet, nadhani ni muda mzuri kutumia nafasi hii katika elimu...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau natumia pc ya dell gx 520, windows xp. Nlitaka kurekodi sauti wakati naimba nimechomeka mic kwenye pc nikatumia Adobe addition kurekoti nlipomaliza nikaplay ile sauti imesikika vizuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nimeibiwa simu yangu Iringa nilikua nikitokea mbeya sasa leo imeniletea picha kwenye email yangu ya gmail kwamba kuna picha imepigwa na picha ya huyo mwizi ni hii apo je nifanyaje kumpata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani kwa ambaye anajua permanently unlocking ya Airtel modem hizi mpya amoja na tigo mpya anipe dondoo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nisaidieni wana jamii jinsi ya kupata plays and novels kupitia internet.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
fungua waptrick.com, kisha install "UC browser" halafu ukishaihamisha kama application kwenye java..,ifungue kisha nenda kwenye app centre, tafuta "mobile useful tools" select halafu utaona...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau habari zenu, natumia android aina ya huawei ascend.. nimejalibu kublock namba ya mtu asiwe ananipata akinipigia nimeshindwa. naomba msaada wenu wadau..
0 Reactions
12 Replies
16K Views
Msaada wadau kwa wanaotumia king'amuzi cha continental malipo ya channel huwa yanafanyika wap? havna smartcard bt sometimes vinaandika insert smartcard,
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Natafuta Laptop iliyo katika hali nzuri sana, processor core i3 au zaidi. Budget 500,000/= malipo leo leo kama mzigo upo vizuri. 0716-904626, nipo Arusha!!
0 Reactions
0 Replies
664 Views
jaman mwenye uelewa kuhusu kununua bidhaa online anisaidie nataka kununu dvd player sony BDP3100,
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Back
Top Bottom