Naweza kuplay football game kwenye pc machine? Ni kwa vp ?
Mwenye uelewa anisaidie maana nimemnunulia mwanangu pc na anataka footbal game
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Wadau anayejua tujulishana,toka jana jioni station za ITV,EATV na CAPITAL hazipatikani kwenye dish kuna shida gani? Anayejua asifanye choyo atujulisha tafadhali.
Tafadhali kama unahitaji huduma hii wasiliana kwa namba 0682295752 kwa wale mlioko Dar mtaweza kuonana na mtaalamu ila wale wa mikoani mtatumiwa CODE baada ya kufanya malipo.
Did you know your IP address is exposed every time you visit a website? Your IP address is your online identity and could be used by hackers to break into your computer, steal personal...
habari wakuu,
nipo katika mpango wa kuvuta galaxy s3.s4 au note 3 used.....issue ni kuwa specifications nazifahamu but sijui jinsi ya kuzicheki kwnu simu zaidi ya ile *@0...!!
ntawezaje kujua kama...
Naomba msaada ndugu nilikuwa natumia laptop umeme ukakatika nikazima ulivyorudi nimewasha naona inaniambia locked afu Ina weka rangi Kama blue Flani natumia dell na ni window 8 version ni latitude...
Nakumbumbuka kama wiki tatu au nne zilizopita niliomba ushauri baada ya rafiki yangu kuniambia anaweza kuniuzia samsung tab 2 kwa laki nne, nashukuru wote walionishauri, sasa rafiki yangu...
With the support of the Bill & Melinda Gates Foundation, InterMedia conducted a year-long tracking study to understand mobile money awareness, use, and the drivers and barriers to mobile money's...
Natafuta kudownload torrents na mafaili yenye space kubwa kama 1gb na kuendelea kinachonikwamisha ni internet speed nmeshatumia modem zote za bongo yn voda,tigo,zantel,airtel na ttcl ila bado...
WANA JF,SALAAM
Naomba mnisadie namna ya kupata foldes zilizojifica ktk flash naona files tu folders sizioni ila flash inaonesa imejaa,Nawasubiri na asanteni
Wakuu kumekuwa na mijadala mingi hasa kuhusu magari Kama vile aina za engine za magari hasa topic za D4 na VVTi engines, Kwa kuwa wengi wetu ni watumiaji tuu ni matumaini yangu hapa jamii forum...
habari wataalamu...nimejaribu kuunganisha laptop yangu kwenye projector kutumia cable ya VGA nipate display kwenye projector nimeshndwa...kuna kitu kingne nachotakiwa kufanya? msaada wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.