Habari wadau wa Jf..
Nimenunua tablet Ebay nikafanya payment via Paypal na product ikawa confirmed then nikatumiwa details kuwa "Usually,they ship it via APC international mail" but nimepewa...
"Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika".
Baada ya Facebook kununua mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za...
Wakuu naomben msaada nataka kwenda kuongeza maujuz nataka kusoma graphics designin gharana ya coz ni sh ngp na chuo gan ni kizur kwa ajl ya kusoma pia coz ni ya muda gan
Nitashukuru kama...
Hi,
wadau kuna mwenye acive or inactive AT&T simcard hapa TZ for activating Iphone5? I have tried to jailbreak lakin stil patupu....
msaada wenu wadau..
. After collecting data on its users to sell ads, Microsoft is prepared to offer a free upgrade to Windows 8.1 for Windows 7 users. "Windows 8.1 with Bing," as the name implies, will feed users...
Hi! My vodacom chip is blocked and in order to unblock it,it needs puk no,am trying to coll customer care with 100 number but i cant make the coll.with respect i apper before u to seek assistance...
wakuu kumradhi naomba msaada niweze kutoa sleep timer kwenye tv tajwa hapo juu. tangu niinunue sina raha nayo, inakaa dakika kumi inajizima
. nimejaribu kwa rimot yake hata menu yake haileti...
Habari zenu wadau.?
Nina biashara yangu ndogo na inahitaji Internet kwa wateja,nimefunga Mifi Fritzbox Router,Sasa naona matumizi ni makubwa mno ya Data nataka Mifi Router iwe inakubali line za...
.
Something serious about your
privacy revealed in public by an
user of Apple iPhone 5S, right now
you just know-Apple has a motion
co-processor called M7 Chip that
tracks of your motion...
Nina Sumsung Galaxy S3 mpya inagoma Connection ya Internet kila nikijaribu kuiseti inaniambia no internet connection.Bundle kwenye line zipo za kutosha sasa sielewi tatizo ni nini.
Nyuma ya pazia Tunnel Guru na Voda.
Nimekuwa na interest ya kufahamu logic inayotumika kuaccess free internet iliyokuwa ikifanywa na tunnelguru na kushindwa kwake.
Concept zilizotumika ni hizi...
Najua JF ni jumba la maarifa mengi. Wadau naombeni tusaidiane maujanja kwa anayejua namna ya kufanya uendelee kutumia Dstv bila kulipia. Au ulipie kifurushi kidogo (Acces) na uangalie cha juu...
Habari wakuu, naombeni msaada wa setting za kuangalia video Youtube kwenye simu ya Tecno p3. Nilifungua inachukua muda mrefu kufunguka, na ikifunguka unaangalia kidogo tu inaanza kuload tena...
Habari za asubuhi wakuu...naombeni msaada wenu wakuu,kati ya hizo simu mbili kutokana na specification zake,ipi ni nzuri sana kuliko nyingine na kwann???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.