WANA JF,SALAAM
Naomba mnisadie namna ya kupata foldes zilizojifica ktk flash naona files tu folders sizioni ila flash inaonesa imejaa,Nawasubiri na asanteni
Watu wamekuwa wakiniomba michoro ya amplifier kubwa,ila kila nikiwapa,wanasema "kubwa zaidi ya hii huna?"
Sasa nimeona bora nikate kiu kwa watu hao wasio tosheka na nguvu yeyote ya power...
Heshima zenu wakuu. Nakuja leo kuomba maelekezo kwenu mliobobea katika maswala ya teknolojia. Mie nina simu Tecno M7 ina mwezi 1 tu toka upya. Juzi imeanza kujiwasha GPS nikipiga Simu kwa line ya...
habari wakuu, naomba kufahamishwa kama ni kweli utaua betri la laptop mapema iwapo utatumia laptop kwa kuunganisha kwenye umeme wakati huo huo betri la hiyo laptop limejaa asilimia 100 ?
Ndugu zangu wana jf, mie nina simu aina ya blackbery 9780 na ningependa kutumia katika internet lakini nachemka namna ya kuunganisha, nawaombeni mnitoe porini ili nije barabarani tafadharini sana.
UKiwa na MI FI ROUTER ya SMILE,
· utaweza kuunganisha 8 devices ambazo ni Wi fi enabled kwa umbali wa mita 10.
· Kifaa hiki hukaa na chaji kwa muda zaidi ya masaa 8 na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza....bei 800000/= na maongezi yapo
Details za simu ni kama ifutavyo
GENERAL2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100
4G...
Over the past few months, various phone companies have unveiled "ultra-secure" smartphones, ostensibly in response to growing concerns about digital privacy in the wake of allegations from...
Habari wana jf,nimenunua dstv decorder nje ya Tanzania,naomba kujuzwa ili kukitumia ni lazima ninunue na dish la dstv ama naweza funga dish lolote?,naomba kujuzwa pia ni dish lipi zuri ama bora...
Mtaani kuna cd zinasambaa zinaelezea movement za freemason na mbinu ya kutawala dunia na kucontrol wanadam wote.
Wametengeneza microcheap ndogo inayowekwa kwenye kidonge ili unapomeza kidonge...
Wadau ku surrender kaisha kubali sawa nae kaamia android.... Japokuwa haeleweki.... Ni Anti-playstore sawa
.
Jeuri bado anayo anajifanya hataki kuingia Google Cloud sawa....
.
Lakini haya...
NI SIKU NYINGI NAJIULIZA MWENYEWE NAKOSA MAJIBU IVI MAPROGRAMMER WANAZILINK VIPI ZILE PROGRAM WANAZOZIANDIKA NA MTANDAO YAANI MFANO PROGRAM YA BENK (ITM) YA KUTOA NA KUAMBIWA KIASI ULICHOTOA NA...
Habari za kazi wakuu wa Jukwaa hili!
Ninaombeni msaada wadau! Nina Blackberry playbook yangu imepasuka screen yake, msaada kwa ajuaye namna au sehemu yoyote hapa Tz ya kupata screen mpya pamoja na...
nimejaribu kuinstall jamiifo
rum kwenye simu yangu kuna neno ambalo nashindwa kutambua neno lenyewe hili !you don't have any devices nimejaribu mara tatu simu yangu ni nokia asha311 naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.