Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wanajamvi, msaada wa hii downloader kila nikijaribu inaonyesha hii msg
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu, naomba nianze kwa kuuliza swali kuhusu hizi smart Tv, mfano, Nina pesa za kutosha kununua aina yoyote ya TV, swali ni je ninunue smart Tv au niifanye TV yangu smart kwa kutumia smart BluRay...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hii ni whatsapp+ ilio shushwa tar 06/03/2014. WAC+v5.12-by-Mr.ehsan
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tangu juzi kila nikijaribu kuunga wajanja night majibu ninayopewa ni kwamba salio langu halitoshi. Nimejaribu kuweka 1000 majibu yamekuwa ni hayo hayo. je tatizo hili ni kwangu au na kwa wengine...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
New threat to ozone layer identified March 9, 2014 21:09 By Matt McGrath Environment correspondent, BBC News Dealing with the hole in the ozone layer has been one of the most successful...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Salaam Buddies!!!!!!!!! Natumia HTC ONE na haijawahi kunisumbua ata kidogo ila tangu majuz Nikitaka kudownload app yoyote ile kwenye Playstore inagoma na kuniletea sms hii ATTENTION A NETWORK...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
hbr wataalam...tangu juz nlipotoka dsm kwenda dodoma laptop yangu inasumbua yaani nkidouble click explorer,mozilla, word,zote hazfunguki yaani hakuna response yoyote...tatizo nn wadau...nme update...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau natumia simu tajwa hapo juu original. Sasa nimekwama kitu kimoja muhimu sana kwangu. Mara zote nimekuwa nikitumia option zilizopo kwenye menu button ku save profile pictures za wadau...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Hong Kong, 65.4 Mbps 2. South Korea, 63.6 Mbps 3. Japan, 52 Mbps 4. Singapore, 50.1 Mbps 5. Israel, 47.7 Mbps 6. Romania, 45.4 Mbps 7. Latvia, 43.1 Mbps 8. Taiwan, 42.7 Mbps 9...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna mahali nimeiona How To Recharge Mobile Without Electricity How to recharage mobile without Electricity 1- Open your mobile cover 2- Take out your battery 3- Take two to three...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu kuna hizi simu zinazouzwa na Tigo, huawei ascend y200 na y300, zinatumia line moja tu ya tigo, je kuna maujanja gani ya kuziunlock ili ziwe zinatumia line zote?? thanx
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wakuu,Nina techno phantom a+ IPA imeanza Kuwait name tatizo La kujizima yenyewe ghafla ninapotumia,au kioo kuwa Giza mpk nitoe battery name kuiwasha upya. Nimejaribu factor reset lakini...
0 Reactions
5 Replies
852 Views
Wanajukwaa naomba msaada wenu iPhone 4 imejizma ghafla tu haiwaki!! Kwa mwenye Utaalam wa kujua tatzo ni nin au Kuwajua mafund wazur anisaidie please!! Naimiss sana jf kwa kwel
0 Reactions
4 Replies
723 Views
Mimi nahitaji kufuta kabisa akaunti ya facebook jumla isiwepo kabisa lakini sioni sehemu ya kufutia akaunti ya facebook.nauliza kama nataka kufuta kabisa akaunti ya facebook nifanyaje?
0 Reactions
32 Replies
14K Views
Wasaaalam wanajamvi,natumai nyote mko salama salmin. Naomba kuwasilisha ombi langu kwenu kwa yoyote mwenye vitabu mbalimbali(inspirational,philosophical,biographies,historical,novel)...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu ninatumia simu aina ya Tecno M5 ila imekuwa ukisumbua kwenye battery, haikai na chaji kwa mda mrefu maximum 1.5 days! Nimejaribu kutafuta beattery kwenye maduka lakini sijafanikiwa kupata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nahitaji kununua laptop sio nyingi lakini tatizo sijajua laptop ipi ni nzur na bora kuliko nyingine. Consideration; Battery, Rom, Ram, webcam, etc Please nahitaji ushauri wako.. Nawasilisha.
0 Reactions
119 Replies
19K Views
Mbona spidi kali (nzuri) hivi... Nina download apps hadi 700kB/sec?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimenunua Anti-virus aina ya Kaspersky 2014 Internet security (3-user), Nimeinstall . Cha ajabu nilipo-apdate imechukua muda mrefu sana mwisho inaniandikia ujumbe huu 'Data base are out of...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom