Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani nimeibiwa simu, naomba msaada kama kuna namna ya kublock line na simu. Naomba jamani.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenye uzoefu na mjuzi wa gari aina ya range rover, nahitajia kujua matumizi ya mafuta, mfano lita 1 inakwenda kilomita ngapi?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimenunua receiver/ decoder ya QSat q 15 g nilifanikiwa kupata channel zote dstv na FTA za bongo za IPPmedia na zile za kichina. Siku tatu baadaye kuanzia 14th Feb,2014 kikaanza kukata. Ukiingia...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ndugu zangu hii simu ukipiga inatokea alama ya head set na mishale miwili, sasa ukimpigia mtu unasikia beep tu, vivyo hivyo mtu akikupigia ukipokea vinatokea msaada jamani
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Wakuu Kuna watu wengine humu hatuna acces za kompyuta so tunatumia cm ...sasa nilikuwa naomba kupatiwa elimu khs ku download movie kwa kutumia cm je movie kwa kawaida huwa zina ukubwa kiasi kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau hbr...naomba kuuliza hatua za kufuata ili niunganishe huduma za cable television kwny projector yaan ntumie projector badala ya tv yangu...nko dodoma, ntashukuru kwa msaada
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Kwa wataalam wa i pod,ukitaka ku toa wimbo kuhamisha kwenye laptop kutoka kwenye i pod unafanyaje? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Unaweza kuangalia mechi za ligi zote kubwa kupitia laptop yako. Cha muhimu ni kuwa na reliable internet connection. Just visit wiziwig.tv and Enjoy!!!!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wasalaamu wazee wa jamvi? Ukiingia kwenye simu sehemu ya nyimbo music,sasa problem ipo hapa,ukirushiwa nyimbo ikaingia kwenye simu ikionekana kwenye ile list ya nyimbo tu baada ya mda inabeba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Windows 8.1.1 The world waits in breathless anticipation for the next version of Windows, but in the meantime, we’re getting a little Windows 8.1 tweaksometime in the next few months. This...
1 Reactions
4 Replies
481 Views
Naomba msaada kama kichwa cha habari kinavojieleza
0 Reactions
16 Replies
2K Views
salaam wana JF. Hii ni whatssap+ ambayo ina hide last seen--no need root ipo tayari. WA.Abo.Sadam-V5.05-Face
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii ndiyo galaxy S5 https://www.youtube.com/watch?v=8JkOHmn1Ej8&feature=youtube_gdata_player
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Windows 8.1 Update 1 is expected to be launched in April and according to a new round of rumors, the new product has recently reached RTM so it’s already ready to be shipped to users. Windows...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wana JF, Yeyote mwenye utalaam wa ku unlock iphone 5 using R-sim9 pro anipe techniques coz kama inanizingua hivi halafu siielewi... tried to ready but stil napigwa chenga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada wa frequencies za channel zipatikanazo kwenye eutelsat east 7A
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada nahitaji kuwa natumia simu ya kichina na usb kuingia net kwenye pc
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sakiti hii ni kama zile za wachina ambazo wanaandika maneno mbalimbali kama vile WELCOME,BARBERS n.k Si lazima uandike hivyo unaweza ukaandika chochte kutokana na mpandilio wa LED zako,Mfano jina...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
hii kali kwa kinga na vijidudu wale wenye simu za Adroid. Download Kaspersky-Internet-Security-11.2.4.153.apk
0 Reactions
1 Replies
975 Views
nimenunua galaxy s4 ni mpya nimeweka interned imekubali vizuri sana na kwenye browser ya kawaila kama opera inafungua vizuri sana. tatizo kuu linalonikabili ni pale ninapotaka kufungua vitu...
0 Reactions
5 Replies
956 Views
Back
Top Bottom