Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimenunua simu tecno T612. Nimekwa kwenye settings za internet. Msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu naomba msaada wenu nime download whatsapp kupitia operamin na imeonesha complete,lakini haifunguki kuinstall nisaidieni.Asante
0 Reactions
3 Replies
814 Views
World most giant table tablet phone
0 Reactions
5 Replies
1K Views
the phone came with tigo sim card, accidentally it was replaced with airtel sim card. when it starts display UNLOCK SIM BLOCK! Help please!
1 Reactions
3 Replies
10K Views
0659-995445,0783-722831
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Hey Fellows! Je ni jina gani ulilojipa/ulilopewa kazini kwako/ofisini kwako katika kazi za kila siku, Maana kiukweli sisi wazee wa ICT na watu wengine wote tunao fanya kazi za kiufundi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
. One of the US Company going to build an ‘Outernet’- which is a Global network of cube satelites brodcasting Internet data to all of the people on the Globe for FREE. Basically, the idea is...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu, naomba msaada kwa yeyote mwenye idea na simu aina ya Itel it 1450 kwani inazingua.Mtu anapokupigia inaonesha kuwa mimi nipo busy hivo mpigaji hawezi kuwasiliana na mimi.Na hiyo nimejaribu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu nina IPAD nikiichaji inapata moto sana,eti problemu yake ni nini?
0 Reactions
0 Replies
579 Views
kuna tofaut gan kat ya inveta ya kusuka na mpya? (solar inveta)
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wapendwa hivi kuna njia naweza block baadhi ya incoming calls kwenye. simu ya blackberry?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
simu yangu huawei ascend y300,mwanga wake hauongezeki,yaani hata ukiindoa energy server bado mwanga haungozeki..swali; hili ni tatizo la setting au simu ni mbovu?
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Wanajf wenzangu mimi si mjuzi sana wa COMPUTER ila maujanja kidogo nayapata humuhumu jf.nimedownload free idm kila nikitaka kudownload video inanitaka niweke video url.nisaidieni hii ul...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wajuzi wa hizi teknolojia nisaidieni namna ya kuweka picha humu JF . inawezekana maelezo yalishatolewa huko mwanzoni ..nami sijakutana na huo uzi( mi bado mgenii) inawekana lipo jambo ambalo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu poleni saana na majukum!!!!! Naomba jinsi ya kuunganisha internet kwenye samsung s4 mini clone kwa kutumia lain ya vodacom.
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Habari zenu ndugu. Naomba tuzungumzie music player bora mnazopendelea kwenye device zenu. Kama ni free ama Premium.
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu naomba msaada wenu kwenye simu ya huawei y 300 nimekuwa nikitumia hii simu ila sasa ninapokuwa nimempigia MTU au nimepigiwa naongea kwa sekunde /dakika chache baada ya hapo inakata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wana jf. Mbali na vd dj ni programe gani wanayotumia ma dj kutengeneza series za mziki
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Kuna wasemaje sijui wataalamu wa Startimes wapo TBC 1 wanahojiwa na Gabriel Zackalia
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapenz wa tecno mpo, nataka nione kama tecno watakuwepo ktk mobile world congress
1 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom