Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Heshima mbele wakuu naomba mwenye kufahamu mahli ambapo wana Print mabango makubwa kwa biashara yaan i mean bango hata lenye ukubwa wa kuanzia 90 inch * 6o inch nataka kuweka kwenye biashara...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wana jamvi Habari za asubuhi. Nina simu aina ya Huawei lakini tatizo ni kwamba hai download picture, nyimbo au hata video. Inadai memory full lakini Nina memory ya 4gd na bado haijajaa. Pia siwezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau nina simu yangu nokia asha 202 imestack kwenye touch simu na meseji zinaingia kama kawaida ila siwezi ku unlock tatizo linaweza kuwa ni nini msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Anayefaham zinapopatikana hizi Router naomba anijuze
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa mara kadhaa katika siku za karibuni nimejiunga na kifurushi cha dakika 20 cha Airtel kwenda mitandao yote lakini nimeongea si zaidi ya dakika tatu na simu kukatika kwa maelezo kuwa kifurushi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Population of Known Alien Planets Nearly Doubles as NASA Discovers 715 New Worlds .View gallery...
1 Reactions
1 Replies
724 Views
naombeni msaada wa namna ya kupata password mpya ili niweze kuitumia email yangu natumia sim hivyo hata google play haifunguki
0 Reactions
2 Replies
12K Views
nina modem ya huawei e303 tatizo lake iko slow kwenye window 7 modem hiyo ni ya voda kila softwere nayojaribu kuunlock haiwezi nisaidien wandugu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wandugu zangu habari za mchana, Nadhani tunafahamu kuwa mara nyingi kumekuwa kunatokea ugomvi wa mara kwa mara hasa kwa wale wapenzi wenye kupenda kushika simu za wapenzi wao, lengo langu...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Hivi wifi hotspot, za sehemu mbali mbali mfano vyuon, mahotelin n.k, huwa zinalipiwa? (namaanisha hao wanotoa hiyo huduma ya wireless, mf chuo kuna sehemu wanalipia ?)
0 Reactions
7 Replies
899 Views
Wapendwa, hebu nisaidieni. Nina wiki mbili sasa nashindwa kutoa pesa kutoka kwenye simu yangu kwa njia ya Airtel Money. Hata kuitoa kwa njia ya kuongeza salio imeshindikana. Inanipa ujumbe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau nataka kununu galax s4 clone ila sina uelewa wa kutosha hasa kuhusu ubora na mapungufu yake. Najua kuliwahi kuwa na hyo mada wakati ule chief mkwawa aliposema anaziuza,ila nimejaribu...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Anayefaham zinapopatikana hizi Router hapa dar naomba anijuze
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninatumia tapatalk v4.3.4 na niliona kuna mtu anapost kwenye hili jukwaa kwa kutumia tapatalk,nimejaribu kulitafuta hili jukwaa kupitia tapatalk ila sijalipata,kwa anaejua anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Katika maonesho ya vifaa vya mawasiliano ya mkononi hasa feature phones, smartphones na tablets yanayoendelea huko Barcelona, Global Mobile Awards ambayo huandaliwa na The GSM Association...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna rafiki yangu anataka kuniuzia samsang tab 2 kwa sh 450000 je ni halali?? ina kila kitu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Direct kwenye mada. Nina ipad yangu nataka kuiuza baada ya kupata kitu kipya. Nawezaje kuiflash bila password maana nimeisahau, na kwa kuwa mara nyingi nilikuwa siitumii. Kwa wale wenye ipad...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salama wakuu. Mimi ni mdau mzuri wa jukwaa hili, kwani najifunza mambo mengi. Leo nina jambo linalohusiana na ram za simu. Mfano mimi natumia S duos 7562, lakini siku hizi za karibuni imekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanandugu nitapata wapi battery mpya na original ya blackberry z10 na kwa gharama gani?!
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Habari wapendwa..please nisaidieni..nina Samsung galaxy nexus..inajirestart kila baada ya few minutes..inaeza kua na shida gani???fundi kaiformart wapii Kafungua kasema haoni tatizo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom