1. No QHD resolution
QHD (not to be confused with qhd) ni resolution ya 1440 x 2560 . flagship phones za mwaka jana zote zimetoka na resolution ya 1080 (1920*1080). while hii ilikuwa a "huge"...
Habari zenu wana jamvini?
Naomba kuuliza je ni simu zote zenye kutumia windows haziruhusu huduma kama za mpesa, sim banking au ni simu yangu tu?
Na kama ni zote haziruhusu ni kwanini...
wajuzi wa mambo nipo ng'ambo kidogo naweza kuja na Decoder ya huku na ikafanya kazi TZ , maana huku kuna Decoder ambazo ukitumia kwa huku utapata channel za bure kabisa zaidi ya elfu 2 Duniani...
Mimi natumua simu Samsung Anycall ndiyo inavyo itwa ipo sawa na samsung nyingine tatizo ni;
1:Hauwezi kuweka vocha hadi utoe laini uweke ktk simu nyingine.
2:huwezi kutoa m pesa kwani ukiandika...
Following the recent news about the Facebook acquisition of WhatsApp there was a fair amount of consternation at the weekend following down time of the service. However, on to brighter news today...
wakuu nina pc yangu iliyokua na partition Local disc C 90gb, local disc D 247gb na local disc E 128 gb nilipga window chini local disc D imepotea yenye 247gb...nimejaribu kuirudsha kwa njia ya...
To all owners of internet cafe and other offices having more than ten computers! We got the software thay can manage and control them manually from home! You can see and able to do anything while...
Did you know that solar radiation from the sun can purify (disinfect) water and make it safe for drinking from harmful bacteria?
While so often we hear or read about the bad things that the sun...
Ni software gani unatumia kati ya zifuatazo, Share na wengine
1. 3D Coat
2. 3DEqualizer
3. 3ds Max
4. After Effects
5. Arnold
6. Autocad
7. BackBurner
8. BodyPaint 3D
9. CINEMA 4D
10. Composite...
Wataalamu wa simu aina za smartphones na pia ipad naomba ushauri nichukue aina gani. Kwasasa nina handset moja aina ya iPhone 5, nataka ninunue nyingine kama sio smartphone basi iPad.
Kwa...
Social networking company Facebook Inc said it would buy mobile messaging company WhatsApp for about $16 billion in cash and stock.
Facebook said it would pay $4 billion in cash and about $12...
Wakuu nina shida na internet ya uhakika, nina vicomputer kumi ambavyo ninataka viwe na internet yenye kasi. nipo mazingira ya kijijini ambapo makampuni ya simu yameniambia huku yana huduma ya...
Laptop yangu imegoma ghafla... Inasema, "your PC has run into a problem... nimejaribu baadhi ya commands km Sfc scannow.. bado imegoma. Naombeni ushauti wenu wakuu
ndugu wada, nimekuwa nashangazwa na yale maelezo kuhusu virusi, tangu nianze kutumia win 8.0 na baade nika-install win 8.1 nina kama miezi 8 imeshapita hivi, lakini kitu kinachonishangaza tangu...
Natumia laptop ya yakumo D27,ina hdd ya 40gb,rom ya 2.6ghz na ram ya 480 mb.Ikiwa naitumia fan inatoa sauti kama umewasha blenda ila ikiwa on ila hutumii inanyamaza inakua kimya kabisa au inapga...
Wadau habari za Jumapili
Naomba kufahamishwa kama naweza kupata antena ya tv ya kuweka ndani yenye nguvu??ambayo naweza kuitumia kama mbadala wa antena za kawaida za kuweka nje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.