Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari zenu... Msaada tafadhari, nna iphone 4 ambayo ina-run iOS 7.0.4 inazingua sana, inaleta message: Temperature " iphone needs to cool down before you can use it. Nkii - restart inakua...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
jaman Hii Kitu Kwenu Ina Work? Maana Naona Kwangu Madudu yamesha anza. Hamna Mawasiliano Kabsa .. Au Ndo wanaziweka Ads...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Niaje wadau wa humu naombeni msaada plz wa tatizo la application za pc kugoma kutumia internet connectiom
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Habari zenu wanabodi. Huawezi imejiLock screen baada ya kukosea "pattern" mara nyingi. NB; Email naikumbuka ila nilizima internet... Msaada tafadhali... Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Jana nimepata zawadi yangu mapema kabla ya muda uliotangazwa baada ya kuonekana mwamko ni mdogo... Nashukuru uongozi wa JamiiForums kwa zawadi ya muda wa maongezi wenye thamani ya shilingi...
2 Reactions
4 Replies
954 Views
Naomba mnisaidie bandugu kuna kitu kinapita fasta kimeandikwa argc code error kila baada ya sekunde kadhaa...ni nini tatizo?
0 Reactions
0 Replies
570 Views
jamani leo asbuhi nimewapa simu vijana jiran zangu ambao waltaka kuangalia matokeo yao but kwa baht mbaya niliondoka kdogo na kuwaachia hyo simu bila kuwambia namna ya ku-unlock so toka wanikabdh...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
ninajisomea tuitorial mbali mbali za ccna ila nahitaji kufanya practise hivyo ndugu mnao weza nisaodia hiyo softwere nitafurahi sana. nawasilisha wakuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika Pita pita zangu na kupekua nimekutana na hii kitu imenivutia sana na nimetest iko vizuri,kazi nzuri vijana tutafika tu; Namna ya kupata matokeo katika simu ya mkononi bure bila kulipia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau msaada wenu,PC yyangu inazingua inataka nifanye activation huku ikidai product key na alinifanyia installation hakuweka izo key so mwenye nazo anaweza nisaidia au kama kuna alternative ​
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wataalamu nina tumia Ant virusi ya Microsoft Security Essential kwenye PC yangu lakini kuna mtu alichukua flash yangu karudishwa ikiwa na documents tatu format ya Word nazo zimeandikwa...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Wadau naomba kuelekezwa ni sehemu gani naweza reboot simu hii.asanteni
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Salaam wana TGSF. Nahitaji ku'merge pics au ku'create picture collage. Can I do it with 'Nokia ASHA 210 dual SIM' (s40)??? If 'Yes' how do I??? Natanguliza shukrani za dhati...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
MoMo is back at KINU Join us on Monday, 3rd March 2014 for Mobile Monday Dar event. This month we are going to look at possible sources of funding for Tanzanian start-ups. The discussion will...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Hard disc ya pc yangu imezingua how can i get information contained or how to fix it
0 Reactions
1 Replies
526 Views
Wakuu nataka kuhamisha contacts kutoka BB kwenda kwenye sim card. Nimehangaika sana sasa nimekuja mbele zenu mnisaidie. Kuna majina mengi. Nataka kutumia aina nyingine ya Simu.
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Jaman naombeni msaada kunamtu nataka nijue yuko wapi simu yake inaita tu ila haipokelewi . noaomben msaada nawezaje kujua yuko wap kwa kutumia namba yake ya simu.
0 Reactions
4 Replies
997 Views
wataalamu naomba mnisadie jinsi ninavyoweza kufanya ip addres yangu isionekane online nimefanya download na nimepata message inasema ninadownload illegal software na wana uwezo wa kunipata via my...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
Naomba kujua kama inawezekana, na njia za kufata ili niweze.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Asee mtoto wangu mkorofi katoboa lensi ya camera ya Simu yangu htc hivi kuna mafundi wa kuweza kuweka lensi na kamera kuwa na quality ile ile???
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Back
Top Bottom