simu yangu ni blackberry 9810 tatizo lake ni kuingiza moto wakati wa kuichaji unapochomeka chaji inaonyesha inaingiza moto lakini haijai na baadae inanyonya chaji iliokuwemo kwenye simu betri...
Jamani natanguliza polekubwa kwenu kwaajili ya mahangaiko yatoka asubuhi؛‎ ila naombakuuliza kama kuna whatsapp ya nokia 2730c; msaada wa kuu.
Wakuu Mwanzoni nili download app nyingi na ikawa inapiga mzigo fresh, but baada ya muda nikaanza kupata message kuwa nafasi hakuna so nimefuta application karibia zote na kubakiza app 3 tu ambazo...
Wakuu, kwa wale wanaopenda kuhifadhi documents zao kwenye 'clouds' yaani mtandaoni basi wanaweza kujiunga na OneDrive ambao wamebadilisha jina kutoka SkyDrive (ni kampuni ya Microsoft) -ukijiunga...
katika mambo ambayo star times mmetokea kuniboa ni pamoja na hili..kubadilishiwa decoder mpaka kulipia elfu sitini ...mimi nilikua mkaazi wa dodoma kwa sasa nimehamia musoma..nilinunua decoder ya...
Salaam wakuu,
Juzi nilikua nacheki cheki kule xda nikakuta kuna jamaa ametengeneza kakitu flani hivi, actually ilikua mod ya pattern lock ya simu ambayo ina interface nzuri sana. Sasa baada ya...
Natumia blackberry 9810 naomba msaada namna ya ku download software google play maana kila nikijaribu nashindwa.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
KAMA WEWE NI MTUMIAJI WA ADOBE,PINACLE,AVID,VEGAS,AFTER EFFECT,PHOTOSHOP ,FINAL CUT,CINEMA4, NA SOFTWARE ZINGINE KAMA HIZO AMBAZO ZINADEAL NA VIDEO (MOVIE MAKING..BASI HAPA Toolfarm.com :: The...
wakuu nina simu yangu aina ya be.united.. Ambayo ni smartphone.... Sasa tatizo limekuja baada ya mtu ambaye nilimpa simu kukosea kuingiza password ambazo nilikuwa nimeweka..(pattern password) na...
wakubwa nimepata tatizo la sauti kwenye 'TV Tuner' ya Laptop aina ya Light Wave LW-UTV STIK, nimefuata maelezo yote ya Installation ya Drivers na Software yake kwenye Laptop lakini nikiConnect...
wakuu jana nimenunua anti- virus ila baada ya ku install na ku update inaniambia kuna error na e scan anti virus monitor is not loaded. naombeni msaada jamani maana hii komputa imekuwa nzito sana...
Najua unajua ila sio jambo baya kujua zaidi.Wengi tuna fb a/c ,tuna upload picha kila leo na kutag rafiki zetu.Je ulishawahi kufikiria kutumia account hiyo kama Photo Library kwa matumizi ya...
Hi wandugu,
Nnataka kuhamisha majina kutoka lumia 620 kwenda android. Cha ajabu hakuna option ya ku export contacts kama nilivyozoea kwenye android. Nataka majina yahamie kwenye pc ili niweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.