Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu yangu ana simu ya galaxy note one. Iliisha charge na kuzima, akaicharge ikawa asilimia 60 hivi. Akajaribu kuiwasha ikawa inafika kwenye maneno Samsung galaxy note one kisha inazima. Baadaye...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Wadau habari zenu, Nina laptop yangu tajwa hapo, ina wondows 8 inaonesha wireless device(intel centrino 2200) ipo turned off nikiangalia kwenye device manager inaonekana ipo n its driver is up to...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
JAmani jf msaada nahitaji software ya kutengenezea biznes card (templates) mwenye nay msaada plz
0 Reactions
4 Replies
694 Views
This is now official from Whatsapp company, fuata link apo chini install then ingia settings,account then privacy utaona. Goodluck everyone kwangu imekubali kwenye android jelly bean...au...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ninajisomea tuitorial mbali mbali za ccna ila nahitaji kufanya practise hivyo ndugu mnao weza nisaodia hiyo softwere nitafurahi sana. nawasilisha wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
radio ya gari (nissan hardbody pickup) imejilock sababbu betri imebadilishwa. inaitaji unlocking code ambayo mi sina. nawezaje kui unlock?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwema wakuu naomba msaada.nilitumia usb cable kutoka kwenye cmu yangu tecno 611 kwenda kwenda kwenye computer fulani kumbe ina virusi vingi ajabu.baada ya muda mafile kwenye phone na memory card...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF, Mara nyingi nimesikia watu wa TCRA wakizungumza umuhimu wa kudhibiti matumizi ya Bandwidth, je kwa kiswahili rahisi tunaweza kusema bandwidth ni kitu gani hasa na kinaweza...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Poleni na kazi, naomba munisaidie software ya photoshine yenye key.
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Habari za leo.? Naomba kujua kuunlock Black berry Torch 9500, ilikuwa inatumika Canada,sasa nataka kutumia kwa line za hapa Tz inaniambia Enter network MEP code. Kwa anayejua msaada please.!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Natoa factory unlock services kwa mobile phones, kupata bei na muda simu yako kuwa unlocked itachukua nimeweka hapo. Kwa walio Dar utanilipa baada ya kuwa nime-unlock simu yako...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
What happened to a much budgeted website with lots of promises? www.tanzania.go.tz It is sad to say that in this modern world where everything is shifted to mobile devices, our own brand new...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Hapa niliponiko hoi maana kazi zangu zimeliwa na mdudu( virus) name nilihifadhi kwa flash. Tafadhari naomba msaada kwa mwenye uwezo wa kunisaidia kwa maana kesho natakiwa kuwasilisha ripoti.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
nina maswali mawili (1) picha ya kwanza ni ya tor , nikitumia vidalia napata dns leak how can i get ride of it 2) picha ya pili ni kernel panic , inatokea niki connect na android...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Morning. Nina modem tatu, Vodacom, Zantel na Airtel na zote nime-install kwenye laptop yangu. Juzi baada ya kuishiwa bundle kwenye modem ya Vodacom nilichomeka modem ya Zantel kama kawaida kwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani mimi naomba kuuliza ni nani anaekosea ktk hili la kupost taarifa muhimu ktk mitandao hapa kwetu bongo? Maana unaweza ukawa unataka kumjua au kumfuatilia mtu ili uweze kujifunza kutoka ktk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman kwa wataalamu wa huawei g 510 ninapata tatizo kwenye kudownload file,nime install opera lkn wapi?inadownload ikikaribia na mwisho ina fail,sasa sijui ni nn?naombeni msaada jamani
0 Reactions
6 Replies
941 Views
Wadau tuangalie nani ana speed kubwa kuliko wote hapa. This will only take 10 seconds, Virus free no downloading blah, blah, etc. Clean. go to Speedtest.net by Ookla - The Global Broadband Speed...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Wanajopo msaada juu ya hz firmware/patch/software kwa ajili ya ku-update receiver ya mediacom nawaombeni msaada wadau e-mail potrayed@gmail.com
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu jana nimereset samsung galaxy yangu baadaa ya kumaliza sasa iv nkitaka kupiga simu Inaandika NETWORK PROBLEM or INVALID MMI CODE hii MMI CODE NI NINI? NA NAOMBA MNASAIDIE JINSI YA KURIDISHA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom