Kuna kilaptop changu kidogo cha samsung nataka kukiwekea window 8.1 lakini nimejaribu kuboot kupitia usb flash disk hakikubali. Nikijaribu install direct inaniambia we could not update the system...
Kwa jinsi nionavyo, TV1 wamejipanga kweli kwenye soko la Media tanzania; Tatizo wajihadhari na u-CCM na U-CDM, wasijiingize kabisa huko. Ni afadhali wasiruhusu kipindi chochote kinachohusiana na...
Habari ndugu na jamaa.hivi ni sehemu gani kwa dar naweza kupata video game nzuri ya kutumia kwenye tv yangu ya singsun.naombeni msaada wapi naweza pata video game
Wakuu habarini,tafadhali naomba msaada wa mtu mwenye setup za spss anisaidie mana nlizo nazo kila nkijaribu kuziinstall zinaleta meseji pls insert disk label sasa sijui tatizo ni nn??mashine ni...
Jamani naomba msaada wenu simu yangu tajwa apo juu ilikua inasumbua baadhi ya progaramu ninkaamua kufomart
sasa kila kitu kimerudi kama mwanzo ila kwenye internet ndo inagoma wenye kujua namna na...
Kidume nimekwama baada ya mabasi kupata pancha .naomba msaada ni nunue net ya mtandao gani ambayo itakuwa rahisi kwasababu nina maassigment mengi.
Au anaye jua maujanja aniPM.
Habari zenu wanajamvi la technologia
Kama lilivyo jamvi la technologia. naombeni msaada wenu.
Natumia huawei y 300. Simu hii inachukua mda mrefu kuload menu (coming back to menu).nini tatizo? ni...
.
Just now, we catched a report on a hackers
news website-thehackersnews.com that
they got a mail from a hacker named
Dr.FarFar, who is actually claiming the hack
of Facebooks CEO Mark...
Habari za mida wadau, huenda hapa pakawa sio mahali pake, but i jas wanna know which is best and safe website ya kudownload latest movies easly??? Au ni njia gani naweza kutumia kudownload movies...
Hail, lightining and gales came through the state's eastern region this summer thanks to scientist-puppetmasters.
As a part of secret program to control the weather in a middle east...
Habar za kazi wakuu, nilikua naomba msaada jinsi ya kutumia tv mbili kutoka kwenye receiver moja kila tv iwe na uwezo wa kubadili chanel bila kuathir nyingine, hasante saana wakuu
Juzi nimepita madukani nikakuta Nokia Lumia 1320 inauzwa 650,000 na Lumia 920 inauzwa 800,000
Naomba mnisaidie kwanini hii latest inauzwa cheap na hii 920 inauzwa still ghali.
Hapa inakuwaje?
Naomba msaada.. Hapa kwangu kupitia Dishi siipati star tv ni mda sasa.. 2saidiane hapo ni kwamba haipo kwenye Frequency setelitte ama..
Msaada tafadhali 2nakosa vipindi Bomba..
wakuu wenye ujuzi na hili jambo nilikuwa naomba msaada wenu ni vipi naweza kutumia huawei ascend y300 kama modem ili niweze kuendelea kula bata sababu tokea basi letu limepata pacha ni balaa tupu...
wadau mi nimtumiaji mpya wa dstv baada ya kuona vingamuzi vingne ni mizigo kwangu. Nije kwenye tatizo baaada ya jana kulipia tena nimeshangaaa kila napowasha sioni channel yoyote na inaniambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.