kwa sasa natumia huawei ascend Y300, kwa kweli ni simu nzuri sana, na kwa upande wa camera, internet iko vizuri sana, bt nataka kumove toka hapo kwenda simu nyingine, bt hav no idea simu ipi...
Wakuu nimepanga kuspend 200,000 hadi 250,000 kwenye kununua smartphone niachane na hii Nokia Asha 200!
Sijawahi kumiliki au kutumia smartphone so sina ufahamu mkubwa kwenye hizi simu!
Naombeni...
Habari wakuu,
hapa nna shida, ni kwamba nlipata sms kutoka voda wa kuchagua muito kwa mpigaji,
wakatoa menu yaani kujiunga na kujitoa, sasa nikajiunga nkachagua wimbo, sasa nkataka kusitisha...
Kwa yeyote anayejua kuhusiana na inverter...hivi kama haiwaki ile feni...ina Maana Itakuwa imeharibika?..lakini umeme unawaka kama kawaida,,Kompyuta natumia kama kawaida....sasa nataka kujua kama...
Habari ndugu zangu..?
mwenzenu nimewasha receiver ya ungo dah! haikuwaka kamwe nami pia sijui tatizo
naogopa kuliwa nikipeleka kwa fundi si unajua tena wakijua hujui tatizo hawa mafundi so...
Habari wakuu,
Nataka kutengeneza bootable flash disk, OS ninayotaka kuifanya bootable ni Debian (Linux) na OS ninayotumia kwa sasa ni XP. Kuna tool moja nimeipata ya kuifanya flash disk iwe...
nimefunga dishi la zuku lakini sipati chaneli za kenya uganda wala tz.napata jumla chanel 24 zilipo kwenye list ya zuku classic ni 4 tu.
Nimefanya setting zifuatazo:
sat-ses 5, lnb freq uvsal...
Habari wanajamvi?
jamani mwenzenu leo nimevunja mfuniko wa nyuma wa battery kwenye simu tajwa.
Je naweza pata wapi? Au kama kuna mtu anao. Simu rangi yake ni nyeupe.
Wanateknolojia mwenye kutumia simu hii anipe darasa kidogo apa. Nawezaje kufree internal memory ya simu yangu? Nina applications chache lakini inaonekana internal memory imejaa nimeuninstall...
Wadau naombeni msaada wa kiufundi kuhusu upatikanaji wa sproket ya nyuma kwa ajili ya pikipiki yangu. Sproket iliyopo ni kubwa, kwa hiyo pikipiki haina mwendo wa kasi sana kama ninavyotaka. Je ni...
Wadau habari. naombeni kujua kama kuna namna naweza kufanya kuongeza channel nyingine zaidi ya zilizomo kwny ktk king'amuzi changu cha Dstv aidha za FTA au za kulipia zinazopatikana ktk ving'uzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.