Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wich is the best graphic design program???
0 Reactions
5 Replies
799 Views
X-2 haifungui PDF
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Heshima mbele wana jamvi naomba kujua bei ya simu tajwa hapo juu ikiwa mpya kabisa tena orijino. Nawasirisha.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wanajamvi naomba msaada kwa yeyote anaeweza nisaidia jinsi ya kufungua simu yangu ya tecno kila nikiwasha inataka phone password kuna dogo alikuwa anatumia kaweka password ambazo hata yeye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Web performance and security firm CloudFlare said late Monday that a customer running on its platform was hit with a massive DDoS attack today that affected service in much of Europe and then into...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Habar zenu wataalam, jamani tatizo langu ni moja blackberry yang haitaki ku-connect internet kwenye browser yenyewe ya sim nkjaribu inanipa notification kama hii "unable to connect to the...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jamvi kuseme kweli nipo chini ya miguuyenu nikiwaelezea matatizo yangu;;mimi natumia simu aina ya "nokia 2730"simu hiyo imevamiwa na virus ambayo imesababisha uharibifu mkumbwa mno kwani kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi Nawasalimia, Naomba kwa wataalamu wa masuala ya mobile app, mnisaidie. Nimekuwa nikisaka application ya luninga ambayo naweza kuitumia kwenye either IPAD, IPHONE au kwenye tabs za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi? Kwa kifupi naomba kuuliza kuhusiana na simu tajwa hapo juu. Ni hivi kuna mtu anataka niuzia (ameitumia yeye/used) kwa laki mbili na nusu hiyo simu. Swali ni kuwa bei hiyo ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa.. Personally, katika soccer games nimeplay fifa tuu n i lov it na sijawah kuzipenda previous PES games wala kuzicheza kwa sababu sikupenda graphics zake n gameplay... Lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa kuhusu ubora wa zile simu zinazouzwa mitaa ya Posta, Dar(barabarani, siyo dukani), kama kweli ni orijino. Zinauzwa bei chee, hadi laki mbili na nusu. Kwa kuziangalia ni kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
First Map of Jupiter's Giant Moon Ganymede Unveiled...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Nimeona hii Ile feature ya WhatsApp ya kuonesha muda gani ulikuwa online imekaa Kimbea sana hasa kama unataka mtu asijue kama umesoma msg yake ama la. Kuna very simple trick hapa, Click Here Kama...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
za majukumu wadau. naomba msaada wenu juu ya camera ya mbele ya simu yangu. kila ninaposwitch on front camera inaniletea message "warning camera failed" nikibonyeza ok camera inaswitch off...
0 Reactions
6 Replies
923 Views
wakuu naomba msaada toka asubuh nkijaribu kutuma sms hazitoki. Natumia airtel, nimecheki msg centre no. Ipo vizuri' tatizo ni nini?
0 Reactions
3 Replies
992 Views
kuna kitabu kinaitwa Surveying and Levelling 2nd edition by R.Subramanian...nmekitafuta kweli lakini hamna mafanikio..kwa atakayekipata anipe tafu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu;Najua jambo ambalo mtumia solar yeyote linalo msumbua ni ile hali ya kuwa na limit time katika matumizi ya umeme wake. Kuna mdau mmoja hapa hapa alisha niuliza kama kuna uwezekano wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam wanataaluma wa ukurasa huu. Natanguliza shukurani. Kama ilivyoada jf imekuwa kimbilio langu kila ninapopata tatizo. Nategemea kuwa nitapata msaada www.coastviewresort.co.tz ni iliyokuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wale wanaojua viuri friji nzuri kwa matumizi ya nyumbani naomba msaada hapa. Nafikiria kununua deepfrezer za kufunua juu kuliko hizi za kawaida. Naomba kujua kama kuna faida yoyote nitaipata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom