Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, Nimelipia Dstv decoder ikiwa imezimwa, nilipoiwasha ikawa haiko activated...naomba msaada kama kuna jinsi ya kufanya maana niko mbali na ofisi zao. Na nikiwapigia namba yao haipatikani...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nuclear Fusion Just Got a Little Closer to Becoming a Reality Atomic fusion could produce limitless energy—but scientists haven't been able to harness it. But a novel experiment suggests it...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Natumia blackberry 9810 ina memory ya gb 8 ndani lakini inaonyesha imejaa nahitaji msaada namna ya kufuta
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Jamani wana tech i want to get my vpn..how do i go about that
0 Reactions
12 Replies
2K Views
naomba msaada mwenye kujua sipati picha tatizo lilianza nilipobadili line ya simu nikiwasha inaandika netwek saccses lakin picha inagoma msaada wenu tafazali nimesubili kwa dk 20 chanell...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina HTC desire s,nashindwa Kudownload vids na mp3 musics.nikienda save link as inaanza loading kisha inaplay Badala ya kujisave.Msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Habari wana jf,ukiacha DSTV,kuna chaneli zozote zinazoonesha ligi za mpira wa miguu za uingereza,hispania,italia nk? kama zipo naomba kujuzwa namna ya upatikanaji pamoja na gharama zake.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Flappy Bird game withdrawn by developer 10 February 2014 Last updated at 22:14 GMT The maker of a hit game for mobile phones has shocked users by withdrawing it despite claiming it was...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kufahamu kumuweka mtu wako akipigiwa au akitumiwa text na mimi nipate taarifa na ku black list all new numbers. Msaada wenu wadau
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu habari za leo.? Nimeona nishare ideas na ninyi wote: Wiki iliyopita nilifunga Internet ya smile ofisini kwangu, na kupata 10GB kama kifurushi cha kuanzia lakini ndani ya siku 3 tu,nikaona...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hii tablet imenitoa ushamba.inataka niingize password za Network SSID ambazo sijui. natumia airtel naomba mnikwamue wajuzi. Kupiga na kupokea simu inafanya lakini kwenye settings za net inabaki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalam, Laptop yangu ni HP Envy dv4, CORE i5. Sasa hivi kila ikiboot inatoa msg hii (see attachment). Please naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
v
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni kwamba jf wameniunganisha na huduma ya kupokea habar kwa njia ya sms na wananikata hela,nifanyaje ili nijitoe kwenye huduma hii?
0 Reactions
4 Replies
834 Views
habari zenu wandugu, naombeni msaada jinsi ya kucreate file la adobe/PDF
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye tatizo la laptop battery anione. Tuna new battery model nyingi sana. Tunasafirisha mkoa wowote. Sms 0779420000
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wadau! Ninatumia Laptop ya Dell Latitude E5530, 32Bit OS 4GB RAM. Wakati fulani ilikuwa na tatizo nikaamua kui-format Window yote na kuweka Window 7 Proff. Shida niliyonayo sasa baada ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii simu imenunuliwa nje na ilikuwa inatumika kabla ya kuletwa hapa Tanzania. Cha ajabu haikubali mitandao ya kibongo. Yaani ukiingiza line yoyote ile, iwe ya airtel, tigo au voda network...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ndugu zangu wana jf nina simu aina ya nokia X2-00,tatizo ni kila nikitaka kudownload apps kama twitter, ovi store inaniandikia "conflicting application?show item" na tatizo lilianza punde...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
nina Tablet ya kichina.android v4.Imejilock password na nikijaribu kufungua haitaki.nimejaribu hard reset zote aitaki.je kuna njia ya kuiformat na kuinstall android os mpya.au kuna njia ya kufanya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom