Wadau wa teknolojia mimi ni mtumiaji mpya wa android phones nina mwezi mmoja tangu ninunue simu hii.Napenda kufahamu machache juu ya rooting kama:
1.Faida zake.
2.Hasara zake.
3.Apps nzuri za...
Please guyssss help
nataka ku download Accounting and Billing software for our company
tulizoea kwenda kwenye torrent na kufanya yale mambo yetu lakini nashangaa nakutana na ujumbe kama huo
kuna...
Unreal Engine Price: $700,000Unreal Engine is awarded as the Most Expensive Computer software till now. The software is a game engine developed by Epic Games. 3 versions are available in the...
mi na computer aina ya dell nimepiga window 3 in 1 sasa kinachonisumbua ni driver ya sauti nimejaribu kutumia cd ya driverpack imegoma kuingia nimetumia universar driver inaingia kabla ya kumaliza...
Nimesoma hapa na kujua hawa isp janja janja wanavyotufanyia soma nawe ufahamu (wanavyo bania speed ya internet)
quoted
''ISP's have no reason to do bandwidth caps because their own network...
Nilinunua External memory card ya 8GB.. ila napatwa na matatizo kibao tu kwenye hii memory
1. Nikiweka vitu kutoka internal memory ya simu baadae huvikuti hasa hasa picha
2. Documents za...
'Fastest ever' commercial
internet speeds in London:
Download 44 films in a
second
The record-breaking
connection was
established between BT
Tower (above) and an
internet research campus...
whose mobile-device business will soon be bought by Microsoft, plans to introduce this month a smartphone powered by a version of Google's Android mobile software, according to people familiar...
Habari zenu wakuu.
Ninatumia laptop ya brand ya Samsung na hivi karibuni ghafla inaonesha mstari mmoja wa njano katikati ya kioo. Hii inaweza ikawa imesababishwa na nini na nini yaweza kuwa...
Habari wadau naomba msaada angle ipi naweza pata channels za kituruki nyingi achana na TRT ya kwenye Eutelsat 36A na Samanyolu ya SES 5 at 4.9.
BURTON JORDE
Habari zenu wakuu. Hii phone ni cha ndugu yangu sasa hakaingii Recovery Mode (Yaani nimejaribu possible buttons zote). Baada ya kugoogle nikaona pia kuna baadhi ya lenovo hazina Recovery mode. Kwa...
Nimesahau pacword yangu ya mail address yangu ya yahoo pia hata lile swali la siri ckumbuki jibu, ntafanyaje na data zangu zote muhimu ziko huko. serious naomba msaada kwa anayejua.
Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock simu ya huawei ya tigo ili itumie mitandao yote.
Kama mtu anaweza naimba aniPM au anitumie sms kwenda 0754224104
natanguliza shukurani.
Kashindi
.
the one and
only founder of Microsoft struggled
for hours to install the Windows
8.1 upgrade on the computer.
The thing is, Gates started early to
upgrade, but he got an error which
we...
Tuwe wawazi tu
.
Siku zote tuna amka asubuhi hata kumuuliza mwenzio Umeamkaje/
tunashindwa!!
.
Vodacom wanatupatia Sekunde 60 ambayo ni sawa na dakika moja Bure kabisa kuanzia saa 12 - 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.