Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani naomba mnisaidie laptop yangu screen yake inakuwa black nikiiwasha ila ina waka ila huoni kitu nifanyeje?
0 Reactions
4 Replies
867 Views
Habar wana jf.. Nina simu aina ya htc merge ambayo ilianza ghafla kunisumbua.. Nilikua nikiiwasha inaonesha maandishi ya htc then inaishia kuonesha mwanga mweupe. Nilipeleka kwa fundi akaifomat...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hello, Naombeni msaada kwa anaejua kuhusu usb tethering, Nataka kushare internet ya laptop kny simu yangu, nmedownload "easy tether lite app" kny simu na kny laptop lakini matokeo yake siwezi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii kitu tumeinjoy buree features zote lakini tangia jana..Bure no more.... ambapo developer kaachia latest version kutoka v4.92 to v4.95,HIDING LAST SEEN needs u to pay. Na wewe ni mhanga wa hii...
1 Reactions
103 Replies
13K Views
nahitaji kununua king'amuzi, sijui kinauzwa sh. Ngapi? Na sijui gharama za kuunganishiwa? Na kipi ni kizuri au bora kati ya ving'amuzi vinavyopatikana tz (star times, zuku etc). Msaada jaman...
0 Reactions
2 Replies
765 Views
ust lastyear blackberry listed out some new features to include in the next BBM update. Some of this features which includes BBM channels , new and improved emoticons and voice notes were...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada airtel internet imenigomea inasema your request was terminated before reaching remote computer error 106 naomba msaada! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
626 Views
How to Tease Top Performance Out of Your Windows Laptop
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Habari jf...naomba kwa yeyote anayejua mahali pazuri wanapounlock hizi cm za huawei anielekeze.NB: na bei tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Windows XP, Service Pack 3—Extended Support ends April 8, 2014 Windows 7, Service Pack 1—Mainstream Support ends January 13, 2015 Windows 8—Mainstream Support ends January 14, 2018 Windows Server...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana jf! Nahitaji hdd ya desktop 320gb sata iwe mzima kwa ku install windows. offer yangu ni 30,000/= mwenye nayo anichek kwa namba hii 0716-844978 au ni pm. kwa walio DSM tu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni msaada, nina tatizo kny laptop yangu ninaposearch kitu online page nyingi zinafunguka kwa pamoja, nyingi ya hizo page zinakuwa ni advertisemnts, hivyo searching inakuwa very slow...
0 Reactions
3 Replies
697 Views
katika arakati za kuulizia online bei za galaxy s4,note 2 na 3 ambapo nliambiwa izo bidhaa zipo Egpty bei ni Note 3 cost $350, Note 2 cost $250 and the S4 cost $300 na nkaambiwa n freeshipping ad...
0 Reactions
3 Replies
745 Views
Tafadhali waungwana, kuna mtu ameformat external ya ofisi na inadata za muhimu sana. Nahitaji mwenye kujua wapi(site) nitapata software nzuri yenye code kabisa maana kila niliyopewa inadai...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Wakuu salaam. Naomba mwenye hizo games anipatie tafadhali.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nina dell optiplex 745. Jana niliiwasha ikaanza kuboot, baada ya dakika moja fan speed ikaanza ongezeka, nikaizima, nikipowasha tena haikuwaka ila ina-blink mwanga wa kijani kwenye switch button...
1 Reactions
0 Replies
585 Views
Wadau nimeiflash hii simu tatizo limekuja baada ya kui flash nikiwasha ina vibrate kidogo haiendelei kuwaka na hata logo ya nokia haitokei nifanyeje wadau ,kama kuna mtu na file lake ambalo ni...
0 Reactions
4 Replies
823 Views
If you did not know! You may connect to that Service! at any time of the day by using Tshs.500 and get ..GB of surfing the internet for that particular day! It currently works during the day &...
0 Reactions
2 Replies
721 Views
Assalaam alaikum na amani ya Bwana iwe nanyi nyote. Niwashukuru saaana wale wote waliochangia thread yangu kabla ya hii iliyokuwa ikihoji kutoonekana kwa website ya ofisi yangu. Ninawashukuru kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni nipewe us#auri nataka kwenda dukani next week nikatafute antvirus au smart securty ambayo itanipa uakika wa data pamoja na pc . nimekuwa nikitumia za kudownload ila bado naona. pc...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom