Whatsapp was recently acquired by Facebook in a record USD19billion deal and looks like we are starting to have fruits of the deal already. Whatsapp had a small panel at the MWC 2014 and they...
Hii imenisaidia,I hope it helps you too
Laptops tend to lose their charm quickly when youre constantly looking for the nearest power outlet to charge up. utafanyaje ili battery yako iweze...
Habari zenu wanajamvi.
Samahani naomba kwa anayefahamu jinsi ya kuongeza salio kwenye akaunti ya kisimbusi cha azam anijuze.
Vipi nambari ya akaunti inakuwa ipi...ya kadi au ya kisimbusi...
asubuhi tumeshuhudia chief-mkwawa akituletea uzi kuhusu nokia x na ndugu zake ambao wamezinduliwa leo, kabla siku haijaisha tayari samsung galaxy s5 tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu imefika
kwa...
Nahitaji kujua kwa aliyewahi tumia hii printer kuhusu ubora wa picha zake na mengineyo, na pia upatikanaji wa catridge zake ambazo namba zake ni 564 na bei za hzo catridge.
Natafuta programu itakayoniwezesha kuchora,mfano katuni moja kwa moja kwa kutumia kompyuta.
mwenye kuijua anijuze wapi naweza ipata.
natanguliza shukrani
Wakuu nimenunua modem ya tigo, laini iko active, lakini haikubali kuunganishwa na internet inasema the connection was terminated by a remote compyuta, je tatizo ni nini? Naomba anayejua...
kila nikijaribu kudownload bet awards 2011 nashindwa kabsa, naomba msaada wenu hasa kama ntapata link au ntadowload vp kwa torrent? ntumia galaxy tab 2.....android 4.0
.
Wadau laptop tajwa hapo juu... SAMASUNG NP300E5X
NAWEZAJE KUPATA DISPLAY YAKE na kawa BEI GANI
msaada tafadhali
mana ilianza kama kucholaa kimstari cha njano kati kati baadae ikadodondoshwa...
Kwa wale wenzangu ambao walikuwa wanataka bbm katika android zao ila hawakufanikiwa coz ilikuwa ina support ktk android version inayoanzia na, sasa kitu linapatikana hata chini ya hapo. Hata...
Malalamiko nchi hii yamezidi hasa kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na service providers wetu. Kila siku utasikia hapa mtandaoni mara tigo, mara airtel, mara voda, mara star times, mara ITV...
wadau naomba kufahamishwa c/c++ compiler ya windows ambayo itasupport socket programming in windows.
nilijaribu kuinstall cygwin na msys(Unix-like environment and command-line interface for...
Ndugu wanajamvi jukwaa hili limekuwa ni msaada sana kwangu kwenye mambo mengi
Naitaji maoni na ushauri wenu juu ya hili
Kwasasa natumia SAMSUNG GALAXY ACE(5830i) ila ningependa kuadvance zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.