Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naomba mnisaidie kunifahamisha ktk hili. 1. What is mikrotik server. 2.Commonly uses of mikrotik server. 3.difference between mikrotik server and window servers. 4.how it works.
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Wadau naomba mnisaidie maswali haya 1.what is mikrotik server. 2.how does it works. 3.difference between mikrotik server & window server. 4.Mostly common uses of mikrotik server.
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Habari zenu wakuu! Nina laptop yangu aina ya Samsung spec. zake ni 1.7ghz,2gb ram,300gb HDD imekuja na windows 8 nataka niiuninstall window 8 niweke window 7 coz windows 8 co userfriend...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MKO POA WAKUU? Samahani ninahitaji kuinstall spss 16 kwenye mac yangu. spss nimeidownload torrent na imekuja na keygen lakini keygen hiyo inafanya kwa Windows tu. so i need keys kama kuna yeyote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MADHARA YA SIMU ZA MKONONI MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti umeeleza.Utafiti huo umetaja madhara mengine ya mionzi ya...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Wakuu naomba utaalamu wa kumaliza tatizo la sim yangu ni kwamba inaonyesha headphones zipo connected kwenye simu wakati sijaziconnect hivyo siwezi kupiga simu wala kupokea mpk niweke headphone...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
kwa habari zilizoingia saa hv hizo channel zimeongezwa ndani ya azam tv inachotakiwa ww kusearch ili ziingie source azam tv Facebook page
1 Reactions
1 Replies
1K Views
nina tumia simu ya nokia n 72 naomba mnisaidie jinsi yakutumia voice command kwenye simu yangu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau msaada toka hizi mvua zimeanza Dstv yangu imekata, kuna jinsi naweza kurekebisha mwenyewe au niite wataalamu wa madish?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima mbele wana jamvi !! Nina galaxy SIII nilikuwa naitumia vizuri tu ila kuanzia jana ikawa ina stack basi nikaona isiwe tabu nika reset loh !! ile kuwaka tu inaniandikia sim network unlock...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
DEVELOPING STORY: Kenya’s Safaricom to Disrupt Mobile Payments Afresh|Plans to Deploy NFC SIM Cards Countrywide Sam Wakoba | Friday, March 14th, 2014 at 1:38am | Business...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau kuuliza si ujinga ni kuhitaji kijua tu na kupatiwa ufafanuzi juu juu ya hili. Facebook ilitangaza kuinunua whatsapp hivi karibuni. Je baada ya hayo kukamilika , unaraka kuniambia whatsapp...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
msaada: mwenye kufahamu application nzuri itakayo faa kwenye android. inayorecord sauti vizuri ya mtu anayenipigia. nimejaribu androrec inarekodi sauti kwa mbaali sana. kiasi kwamba najikuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuunganisha net kwenye simu tajwa hapo juu,natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
4K Views
kama kuna anaejua wajanja night imepatwa na nini,? maaana hii wiki sasa nikijiunga naambiwa salio halitoshi wakati limezidi mara 3 zaidi
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Online Tools and Services Bonyeza hapa Find your IP address, and what are your browser settings. bonyeza hapa nslookup : DNS lookup to query a domain name server to look up and find IP...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nmeiona dukani hapa bei yake kidogo inaridhisha Sifa zake hizi hapa Wakuu hebu niambieni kwa hii processor yake inafaa kwa games na movies? Product Number D4B70PA Microprocessor 1.4 GHz AMD...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu msaada katika ishu hii apa,ni kwamba niliweka flash ambayo ia virus katika pc yang na lengo likiwa ni kuiscan then ikaja arlet kutoka window defender inayonihitaj niiscan,then nikaiscan na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tovuti ya Chuo cha Uhasibu Tanzania imevamiwa na maharamia wa internet wanaojiita Defaced. Maharamia hao ambao hutumia njia ya kuvamiwa tovuti za nchi mbalimbali na NGOs kwa ajili ya kujitapa...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hallo WanaJF. Naombeni Ushauri. Nimekuwa mteja addicted wa EasyTV tokea 2009. Lakini kwa sasa kutokana kuwa wamenyang'anywa kurusha Channel kama ITV/EATV/StarTV, Ninataka kuhamia Azam Tv kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom