Habari zenu wakuu,
Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye...
The Vice Assassination is the third assassination mission given to Franklin by Lester and represents an opportunity for enormous investment return in the Stock Market for Fruit and Facade. It is...
Kwa wale mliowahi kucheza game za gta ety. Mpaka uwe unajua kiingereza ndio uliweze mission zake watu wanaisifia Sana hasa San Andreas, niliwahi jaribu kuidownload mwanzo tu nashindwa kujua...
Wadau wa tech sijawai kukosa majibu. Kweli watu wa tech ni smart and generous.
Watu wa jukwaa la sheria tutawajadiri siku nyingine.
Sasa katika kutafuta njia ya kisasa ya kutunza movies nikahis...
Exercising Demons - Trevor is a Strangers & Freaks side mission in Grand Theft Auto V given by Mary-Ann Quinn, involving protagonist Trevor Philips. The mission becomes available after completing...
Hii habari inasikitisha sana sana na wanazuoni wa Kenya na Afrika kwa ujumla!
Kijana wa kichina ame hack page ya chuo kikuu na amewaomba wampe USD 500 Awarudishie page yao!
Kabarak Uni wana...
Wagwaniiiii..?
Kama umefatilia mitandaoni Kenya kuna gumzo baada ya mwamba kutoka Indonessia ambae amehack page ya chuo cha karabag ambacho wanadai kinadeal na mambo ya it lakini wamehakiwa na...
Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza...
Hatimaye Microsoft wamesema windows10 22H2 ndiyo version ya mwisho. Kuanzia Sasa akutakua na Tena na muendelezo wa window 10.
Latest version ya 𝗪𝗶𝗻𝗱𝗼𝘄𝟭𝟬 ndiyo itakua ya mwisho akuna Tena window...
Leo ninaleta brand za simu zenye market share kubwa zaidi duniani ili kukuruhusu kujua ni simu za kampuni gani zinauzwa au zinapendwa sana duniani . Bila kupoteza muda naanza
1. Duniani kiujumla...
Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na...
Habar zenu Jamani
Naomba msaada wa hili tatizo langu la WhatsApp yangu KUFUNGIWA.
Hili tatizo limekuwa kubwa Sana kwangu, nimejaribu kutuma message kwa watsapp support kwa Mara ya kwanza...
Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani!
N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI...
Salama humu.
Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read'
Swali lifuatalo ni je hakuna simu...
Wapendwa habari za wakati huu,
Samahani naomba kujua Kati ya google pixel 6 plain na IPhone 11 Nani mkali zaidi katika camera, betries, storage, quality na mengineyo mengi mengii ya ndani msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.