Nahitaji mtu mtaalamu wa kutengeneza website pamoja na APP awe mbobezi na mwenye uzoefu wa kutosha kama upo tayari wasiliana nami kupitia whatsapp namba 0685451700 Asante.
Wengi huwa wanaambulia html tena ile basic kabisa, wachache angalau wataongezea php, javascript, wachache sana hawa wenye passion ndio wataingia mpaka kwenye python, c#, c++, java... Hapa...
Hii cm ni OPPO r9 plus huyu jamaa amezunguka kwa mafundi wote ila wapi wananshindwa kutatua tatizo cm inagoma kupeleka charge uki connect kwenye charge inaleta haya maneno. vip hii cm atupe tu au...
Ninashida ya operating system ya tv yangu pinetech model no PT55-E1 smart 55' na cjajua namna ya kutatua tatizo coz ikiwaka inaandika "PINETECH" halafu inaandika tena "Android" inagandia hapo...
Wakuu wataalam wa Xiomi nilikuwa natumia A seeies za Samsung ila now nataka kuingia Rasmi XIOMI Naskia hzi simu ni nzuri sasa naombeni kujua kwa Bajeti ya laki saba hadi laki nane. Xiomi toleo...
Wakuu habari..
Kuna mtu anaweza kunisaidia kupata IMEI No, za cm yangu android
Maana siku Zi save popote... Na simu imeibiwa.. so nataka ku track nijue , ipo wapi, na nimpate aliye chukua...
Salaam brothers and sisters,
Ni jambo ambalo nimekuwa nikilipanga muda mrefu kuhusu kuanza 3D, lakini softwares ni nyingi, na nilitamani kujua ipi inafaa zaidi na itakuwa rahisi kutumia assets...
Kuna simu nyingi tu na zina design tofauti tofauti lakini kuna baadhi zimetokea kunivutia kutokana na kuwa na design zilizokuwa inspired na strong creativity. Mfano wa simu hizo ni hizi hapa...
Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki)
Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza!! Nimeamua kwa moyo mmoja kuanza jifunza programming na sasa nimeanza na PHP katika back end!!
Naombeni ushauri wenu, je nisome vipi ili niweze kui...
Habari...
Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi...
Wanajamii forum kwa yoyote anayejua mfumo au jinsi ya kucheza zile mashine za bonanza ikiwemo teknolojia na weakness za ile mashine tujuzane humu tupate elimu
Habari zenyu wakurungwandu.
Nisiwachiahe na hizi swaum. Nijielekeze kwenye mada moja kwa moja.
1. Nahitaji fundi wa projector aina ya Epson. Shida yake ni kutowaka
2. TCL flat screen 42'...
Habari zenu Wana JamiiForums,
TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu.
Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye...
Habari zenu nataka nimnunulie mama yangu simu kama zawadi ya birthday nimeandaa budget ya laki mbili mpka mbili na nusu naomba mnishauri ni simu gani nzuri
Ukizingatia muonekano na camera nzuri...
Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao...
Kwa vile JF ina kila mtaalamu, ninaomba msaada wa kujua ni nini sababu ya simu kutumia data kupindukia. Mb zinakatika kama umeme. Hapo awali haikuwa hivi. Hii simu ni mpya.
Ahsanteni.
Moja ya swali nililokuwa najiuliza sana ni kwanini makampuni yanayotoa huduma ya internet kwa fiber optic cable yanashindwa kusambaza fiber kwenye maeneo mengi ya watu wa kipato cha kati ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.