Habari za saa hizi wana-JF.
Naomba msaada kwa yoyote yule anaejua jinsi ya kununua movie online. Naomba mnielekeze ni procedures gani natakiwa kuzifuata ili niweze kununua movie kwenye mtandao...
Mwenye Motherboard ya Desktop inayo support pinless Dualcore processor au Pentium iv pinless processor. inayotumia DDR2 au DDR3 ram memory. pia iwe ina support sata. nichek tuongee
0716-844978
Wakuu naombeni msaada nimetengeneza form yangu na kuiset kwamba spaces zikiwa hazijajazwa zote idisplay error message infront of hizo spaces ambazo hazijajazwa!
Tatizo linakuja kwamba mimi nataka...
Jaman za jumapil? Naitaji msaada wenu simu Yangu imefutika vitu vyote naitaji kufany backup sijui pakuanzia nisaidieni how to do backup cm Yang ni Vodafone
Nashindwa kabisa kufungua internet kwenye simu yangu ,simu yangu ni samsung galaxy star GT S5282
Inatumia wireless for fidelity(WiFi),ina mwezi mmoja tu na settings kila nikichange inagoma ,hata...
Wadau, kunasimu zaaina mbili nataka kupatahabari zake
moja ni hii nokia asha 305, hivi siwezi ku-upgrade kutoka 2G kuwa 3G? inatumia line ya tigo.
nyingine ni Blackberry, nitapataje software ya...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na maswali mengi, ubishani na maneno kwamba Tecno Phantom A na Samsung Galaxy S4 zinafanana na zina uwezo sawa.
Kutokana na hilo, nimeona ni vyema...
Huu ndio muonekano mpya wa Samsung Galaxy S 6 kama ambavyo wajanja wamei likisha mtandaoni na mwaka huu utaingia sokoni rasmi lakini inasubiriwa tu tarehe ya S5 kwanza ambayo ni February 24 mwaka...
amani iwe nanyi wapendwa wana jf,naomba kujuzwa kwa jambo lifuatalo;hivi kwa mfano mtu kafanya kazi kwa muda mrefu na mafundi umeme wakubwa akiwa kama msaadizi au 'kibarua' wa fundi kama ilivyo...
Habari wakuu,
Naomba kuelekezwa namna ya kufanya setting ilinipate kutumia Internet kwene Android yangu,Model yake ni SB-708,
Nimejaribu kucopy APN za tecno inafungua ndio lakini ipo slow sana...
.
Samsung announced the time and
date of its next Unpacked event.
.
The Korean giants next major
mobile product announcement will
take place this month, on February
24 in Barcelona, right...
Hallo wana JF, Naombeni mnielekeze namna ya ku-Capture screen short kwenye BB yangu.
Ntafurahi kama maelekezo yataambatana na picha. Namna na jinsi ya kufanya hilo zoezi.
Thanks.
Jaman habar zenu mimi ni fundi wa computa lakn ktk sekta yng nakutana na changamoto mbalimbali ktk kaz yng.mambo yanabadlka kutokana na technology kubadlka naomba tushirikiane na wnzg ktk sekta...
Natumia Techno phantom A, wiki moja nyuma nilikua napata message toka What's app admin ikiniambia kuwa natakiwa ku-update what's app application ili kupata New vision, nikawa nasema nta-update...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.