salaam wakuu,
kwanzia jana sijui simu yangu imepata tatizo gani. yaan gmail a/c inakataa kabisa kulogin inaleta this error: there was network problem while trying to login to (my email). nashindwa...
Nokia - MOBILE-check if original or not
Would like to know if your mobile is original or not?!!
Press the following on your mobile *#06# and the-international mobile equipment identity number...
Naomba tafadhali kwa anayejua namna ya kufanya configuration za kuiwezesha simu ya Samsung kujizima na kujiwasha yenyewe. Je zina hiyo feature, especially hizi recent advanced smart phone/tablets...
How to Hide the drives(c:,d:,e:,...etc) in Ur Computer
This is a great trick you can play on your friends. To disable the display of local or networked
drives when you click My Computer.
1.Go...
Habari wana jamvi...
Nilikua nina wazo la kuanzisha internet cafe maeneo ya kinondoni ..je ni service provider gani ni mzuri na sitajutia kumchagua ??? Je nitaweza vipi kulimit watu kudownload...
way to repair a scratched DVD-
DVDs and CDs usually show some wear and tear after a few years of use. They are designed to correct small errors in the disk's surface. If you find small scratches...
Naamini wengi tunafahamu Smartphones. Naamini pia wengi tunazitumia. Kabla ya kuwepo kwa SmartPhones, simu za kawaida zilikuwa zinaweza kufanya mambo kadhaa ikiwamo kupiga na kupokea simu, SMS...
Habari wadau??? je Iphone 3GS inaweza kuwa updated up to ios 7 au mwisho wake ni Ios 6.1.3?? pliiz msaada wenu na kama inaweza kwenda beyond 6.1.3 kuna buggs errors zozote?????
Tafadhali kwa anae fahamu sehemu ambayo naweza kupata laptop used kwa bei ndogo. Nahitaji kufungua biashara ya kuuza hivo vifaa. Vile vile nitafurahi zaidi kama nitapata mtu ambaye ni mzoefu wa...
Whale sharks open their huge mouths to feed on plankton, though this one appears to be interested in eating a diver. Photo by Simon Pierce from Caters News Agency used by permission
Simon Pierce...
May be imetojea umepewa 20 m utumie kwenye electronics chumbani mwako utazitumiaje
Binafsi ntatundika 1080p flat screen, pemben kuna dstv mwaka mzima, ps4 kama kawa,
.aircondition. fridge na...
Wanajamii kwa anayejua Inakopatikana mitungi ya wino ya printer za Epson P50 anisaidie naiihitaji, Nisaidieni. Kuhusu fundi wa kuinstall ni mimi mwenyewe fundi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.