Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
pc yangu ni hp pavilion g6, nimebadilisha windows mara kadhaa, bt nw inazingua hasa ninapocheza game FIFA, so nataka ku recover to orijinal state(at the time nainunua) nimejaribu lakin nimeshindwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf! Nime format hdd nime reinstall windows xp2. nahitaji kupata data zilizopo ktk outlook.naomba msaada nifanyaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhali nibadilishe jina kuwa KITABU
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Warning: ini_set() has been disabled for security reasons in /home/jamii/public_html/includes/config.php on line 2 Warning: ini_set() has been disabled for security reasons in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
laptop yangu ya hp inawaka ila screen yake baada yq muda inakuwa black ila iko still on sijui tatizo mwenye ujuzi please
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari za kwenu wanaJF, Naombeni mnisaidie kujua ni jinsi gani nitaweza ku-uninstall program yangu kwenye windows7 ambayo iko password protected. Program niliyonayo ninayotaka kuitoa inaitwa "USB...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada please, nilikuwa na upgrade Bios System ya laptop Toshiba Satellite A200 series laptop ikazima , toka hapo nikiiwasha inazima nakuwaka tu, inatoa kuja screen "Intouch with Tomorrow''...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, naomben mwenye kufahamu ni mahali gan ninaweza kufanya Field (mafunzo kwa vitendo) ambayo itanisaidia kufaham mambo mengi ya ki IT,
1 Reactions
10 Replies
5K Views
MSc Forensic Computing V/S MSc Information Security and Management. Najiandaa kufanya moja ya kozi hapo juu, kwasababu zinaendana na mahitaji yangu zote mbili. Napenda kujua ipi ni bora zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijui kama neno utengenezaji litakua sahihi ila ntaassume ukisoma utanielewa. Genetic Engineering leo, hii field inahusiana na manipulation ya viumbe kwa kutumia biotechnology ambapo DNA ya kiumbe...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanajamvi na siku kama ya tano leo internet ya blackberry kwenye line ya Airtel inasumbua sana.Tatizo ni handset yangu au Airtel? Kuna wanaopata tatizo kama langu kwa watumiaji wa blackberry ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman mimi ni member mpya naomba msaada kwa weredi wa mambo haya. Nimetumiwa simu na ndugu yangu lakini kila nikiweka line inaandika sim lock, naweza pata msaada wa namna ya ku unlock? nipo moro...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natumia Nokia Lumia, naombeni mwenye msaada jins ya kuiset simu yangu ili kioo kisiwe kinalalaa au kurotate pale simu inapokuwa ipo slanted. Napenda kuitumia sana nikiwa nimelala kitu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za kwenu, Naombeni kujua ni vyuo gani vizuri marekani (sio lazima viwe on top) katika kufundisha mambo ya networking and information security kwa level ya masters. Pia viwe kati ya vyuo...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Naomba mnisaidie namna gani naweza kuatachi picha kwenye jamii forum.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefurahi sana kupata hii miwani kwaajili ya kufanyia upelelezi wangu. Hakuna siri, ukiniona nimeivaa nitakuwa nakamata matukio muhimu. Angalia hii hapa miwani yenyewe hapo chini; a 2nd...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hiv kati ya HP, Samsung, Dell, Toshiba na Lenovo ipi bora kwako? Kweny; Durability, Power Use etc Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Wadau Heshima kwenu Jana nimeingia kwenye internet cafe 1 ndani nikakutana na mtu tunafahamiana, huku nikiwa naendelea na huduma niliyopewa,yule bwana akaniletea ujumbe kupitia simu yangu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi hii imekaaje? Mfanano wake, utofaiti wake Ipi nzuri zaidi ya nyingine kwenye matumizi....!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamii. Nimedownload NFS most wanted 2005 torrent file kwa kutumia u torrent. Naomba msaada wa hatua za kufuata kukamilisha process nzima ya installation. ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Back
Top Bottom