Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wanajamvi, katika ununuzi ebay nimekutana na neno hili Item condition: For parts or not working naomba mnijulishe ina maana gani? Bonyeza hapa uione ebay
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Me kwa mara Ya kwanza ndio najiunga kwa jf ila sim yang kama si elew elew vile nashndwa kabsa kupost any sim yang ni samsang gt-2710 plz mwenye kujua tatitzo lipo wap anaweza kunsdia ahsanten sana
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Mi ni firstime kuja hapa jf but kuna Tv yangu aina ya samsang 23'f4003 yan nkikonect na dvd player inadisplay black and white picture ila kwa usb na hdmi inakuwa poa je tatitzo itakuwa nin na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari za saa hizi....kichwa cha habari kama kinavyozungumza nauza htc one used kwa 650000/- .nimetumia kama miezi 3 ipo kwenye hali nzuri haijawahi kwenda kwa fundi....sababu ya kuuza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajukwaa katika zunguka yangu mitandaoni kutafuta Movies, nikakutana na hii site inaitwa youku, yaani ni REAL COPY N PASTE ya youtube, walichobadilisha wao ni lugha tu, HIVI SHERIA YA HAKIMILIKI...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji pikpiki used kutoka Japan kwa Mwanza zinapatikana wapi bajet yangu ni 700,000 iwe Honda
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, heshima kwenu kwanza Nahitaji kununua simu, ila kuna vigezo nataka vizingatiwe wakati wa kuinunua, vigezo hivyo ni : 1: OS ya android 2: Iwe na resolution kubwa yaani kuanzia...
0 Reactions
4 Replies
779 Views
jamani wataalam msaada wenu kwa hii kitu,anayefaham jinsi ya kuipata astra 28'e,ninaitaka joy sport,mi nna 6ft eurostar solid dish na receiver ya arisat mpeg4 hd,je naweza kuipata,je dish yake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nimechoka na King'amuzi ch Star times na sasa nimekitupa!Je King'amuzi kipi ninunue ambacho hakitasumbua?Ahsanteni Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
1 Reactions
19 Replies
3K Views
We need a compang or agent who is good in ac and generators.our generators is from Italy known as Goff and Zordan.we need for servicing generators.assuring the equipment work perfectly.for more...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Kuna simu yangu ya samsung ninayo model yake ni GT-S7562 duos ilikuwa na matatizo kwamba iliupdate software ikahitaji kurestart ilipomaliza. Baada ya kurestart haikuwaka tena ikawa inaishia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu hebu nisaidieni Ninatumia huawei y300, ila toka juzi inakataa ku-install apps kutoka playstore. Nisaidieni nini tatizo na jinsi ya kulitatua.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Masada jamani wana JF naomba msaada Wa kuanlock modem ya ya Airtel E153
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Niliangusha Nokia Lumia 625 imevunjika kioo. Je naweza kubadilishia kioo na kama inawezekana mwenye information kuhusu mahala wanapotengeneza/badilisha hapa Dsm anisaidie. MSAADA PLEASE. Thanks in...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nitatumia hesabu rahisi sana kueleweka kuelezea hili. Tuchukulie wastani unalala masaa 7 kwa siku, 7(hrs) x 365 days = 2555 hrs/days 2555 hrs/days / 24hours = 106.46 days Hii inamaana kwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
habari wana jamii forum wenzangu, nina desktop computer aina ya hp kuanzia jana nikiiwasha inaniandikia OCBYR IS COMPRESSED PRESS CTRL+ALT+DEL TO RESTART. nashindwa kuelewa tatizo ni nini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nimetumia MediaCom mda mref sana. leo nimepata WizTech mpeg 4, dish ft 6 lnb ya local na KU ya nigeria na ile ya kenya. Tatizo nililonalo ni MAJINA YA SATELITE ZILIZO NA LNB SIZIONI...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
plz husika na kichwa cha habar hapo juu.mwenye nayo naomba mnitumie au hata link yake.google play wameiondoa haipo.@njuvawavoko Paje mwl rtc Mndengereko CHIEF MKWAWA
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanajamii. Naomba mnijuze wauzaji wa CD za PC games hapa dar au kama wapo kwenye jukwaa wajitokeze tufanye biashara. asanteni.
0 Reactions
0 Replies
718 Views
UBORA -Ina uwezo wa kubeba simcard mbili -Ina uwezo wa 3G kwa simcard moja na 2G kwa simcard nyengine -Touchscreen yake ni capacitive kama ilivyo kwa smartphones nyingi -OS yake ni Android 4.0 Ice...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Back
Top Bottom