Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, nisaidieni nina sms notification software na ninahitaji shortcode, hivi ni njia gani nipitie: Ningependa pia kujua activation charges za telecommunication charges: Thanks
0 Reactions
1 Replies
4K Views
naomba kama kuna anaejua nini tatizo la tecno Kwenye whatsap aplication mana nilianza na P3 whatsap ikagoma nikanunua M5 ikagoma baada ya muda.hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
wakuu msaada jaman hiv ni hii huawei ascend y300 ndo haifungui ms office na pdf. nisaidien tatizo ni nini
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF,tangu jana PC yangu haionyeshi picha,id,avatars kutoka JF tu,websites nyingine picha zinaonekana kama kawaida,tatizo linaweza kuwa ni nini?
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Natafuta mikono ya kushikilia screen ya dell d600 , na mkanda wa vga wa macbook . Mi nipo arusha
0 Reactions
2 Replies
787 Views
habari zenu wakuu, naombeni mnijuze bei ya iphone 4 used na brand new kwa hapa dar.. pia naomba mnieleze wapi naweza kuzipata kwa bei nafuu (used and brand new).. natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada nina simu yangu SAMSUNG WAVE 3 GT-S8600, Ni simu kali lkn haikamati internet,fb, na whatsap naambiwa hamna nimeenda mpaka vodashop wananiambia haiwezi kuwa na program hizo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Ni kama wiki mbili sasa JF app katika IOS imekuwa ina crash. Nikii delete app na ku install upya bado tatizo linaendelea. any clue jinsi gani naweza ku solve hili tatizo. au mpaka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu,heshma sana kwenu wanaharakati wenzangu,naomba wenye kuyajua magari haya waniambie je yana mazuri na mapungufu gani,na kwa upande wa upatikanaji wa spare na service zake zinagharimu sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
rejea kichwa cha habari hapo juu ndugu zangu lg g2 nawezapata wapi posta orignal kwenye maduka yanayouza simu.natafuta sana msaada wadau.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A rhino grazes at Maasai Mara Game Reserve. KWS will use more advanced technology to counter illegal wildlife trade and stop the loss of major species Photo/KNA KWS now goes electronic in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MASELA mi ni mgeni kwenye hii web site je kuna mtu anaweza kuniambia mchoro[circuit diagram] pre amplifier nzuri kutumia kwenye home theater ambayo ina weza kutoa stereo
1 Reactions
0 Replies
989 Views
Habari zenu wadau, mm nahitaj kuagiza PlayStation 3 kutoka Ebay au Amazon au popote pale panapofaa,mtandao upi ni mzuri na shipping cost ni nafuu na Ni salama? Kwa kifupi sijawahi kutumia hii...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi Nilikuwa Na Sign In Kwenye Akaunt Ya Gmail Baada Ya Ku Sign In Wakaniambia Niingize Namba Ya Simu Ku Verify Account.Sasa Kitu Kila Nikiingiza Namba Ya Simu.Message Inakuja This Phone Number...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu natumia Samsung Tab 3, shida ipo kwenye kudownload videos youtube!! Kama kuna anayeijua application itakayonifaa anijuze. Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Naomba msaada jamani, kila ninapoweka vocha ya tigo kwenye line yangu wanakata kiasi cha pesa wanasema nimeunganishwa internet ya tigo rafiki, nifanyeje niweze kujitoa, manake natumia nokia ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
I thought it is good to share this: There are many different types of displays / touchscreens available across the range of smartphones and it is important that we know about them before buying...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Helo Wana Jf Cm Yangu Nokia 6070 Lakin Nikidownload Uc Inakataa Kuconect Kwenye Internet, Mwenye Utaalam Anisaidie
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Wakubwa salam. Nina android tecno p5, nikidownload attachment zinadownload vizuri kabisa ila nikisema nizifungue, zinagoma, inanijibu "cant open the file'. Imekosa application gan ili niitafte na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
salaam, Niko katika wakati wa kufanya maamuzi kununua ipi kati ya laptop ama zile notebook(wengine wanasema Netbook,sjui ipi ni sahii). Ningependa kujua tu kitaalam the +ve and the -ve za...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom