Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimenunua dish na dekoda ya zuku mpya sh.65000.niko kijijini sana hakuna fundi.mwenye ujuzi jinsi ya kufunga anielekeze.nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hi guys, tafadhali naomba mwenye rendering software ya artlantis version 4.1 na key zake aiweke hapa nimekwama sina ujanja. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni project ambayo nime i-design kwa ajili ya kuwasha taa au kitu chochote kinacho tumia umeme mkubwa kwa kutumia remote control kwa umbali zaidi ya mita 10. REMOTE YAKE RECEIVER YAKE...
11 Reactions
19 Replies
5K Views
Wadau habari ,natumaini mu wazima na mnaendelea na majukumu .Ninatumia king'amuzi cha zuku ambapo alwayz hulipia package ya zukupoa na kupata stesheni kadhaa ila jana kuna bwana m1 alinipa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jinsi ya kurudisha data zilizopotea/formatted accidentally kwenye Samsung galaxy infuse 4g mfano video,picha na documenti.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TECNO N9 - Device Specifications 8.0'' HD display together with quad-core 1.2G CPU, TECNO N9 delivers perfect visual experience and smooth operation. With the latest version of Android 4.2 and...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
What humans may have looked like 7,000 years agoHunter-gatherer roots, Paleo diet and some possible traces of African genes By Dylan Stableford, Yahoo News...
1 Reactions
2 Replies
757 Views
Salaam sana wanajamvi. Mimi ni Mshauri wa masuala ya teknolojia/tehama pia ni fundi computer. Kwa mara kadhaa hapo awali nimeutaarifu umma kwenye nyuzi kama hizi kama umetokea kukutana nazo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
jaman nimetak kununua laptop lakn ni bora n iulze kwnza ili nisje juta next tme. Kati ya accer dell hp fujitsu zote zna webcam sasa ip bora na ipo kwnye kwango.
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Jf msaada kuweza kufunga kabisa wacweze kuhuck wi-fi yangu kwangua haijukui mwezi bando imeisha. na nimekua nikiona vijana wakiwa maeneo ya Jirani na nyumbani kwangu kila mtu yupo bussy na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habar wana jf? Samahan wakuu laptop yangu ninapo turn on kuna software zinatokea kwenye screen kwa mfano avafind, Blackberry software na nyingine mm sitaki zitokee. Msaada wakuu kuna...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
. The hacker who hacked email accounts of George W.Bush , comedian Steve Martin, Pulitzer Prize-winning author Diane McWhorter, Oceanographer Robert Ballard, and many more officials...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
So Wired From an illustration for Popular Science by John Picaco South Korea's science ministry is investing $1.5 billion in building 5G wireless service for the country by 2020, AFP...
4 Reactions
56 Replies
9K Views
Wakuu naombeni msaada wa maelezo kwa anayefahamu jinsi ya kuconnect dvr to android phone au tablet
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Msaada kwa mtu aliye na activation key za dreamweaver 8 anisaidie ....
0 Reactions
8 Replies
880 Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana mwezenu amabye nimechoka kusubiri ajira,nimeamua kufungua Company yangu,Ndugu zangu najua kila kitu ni pesa,Nimekwama ndio maana nakuja kwenu wangwana mnipe Link...
1 Reactions
3 Replies
803 Views
Habari wana JF!! Nimekuwa ni mpenzi wa kujifunza kutengeza matangazo sana, hasa matangazo ya magazeti na mabango ingawa nimekuwa nikitumia zaidi Publisher (Offfice) lakini haitoi vitu vya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nadhani hili linapaswa kuwa hapa katika technology Naomba kujua wale ambao wanauza cd a antivirus pamoja na serial zake wanafanyaje? na mm nataka kuanzisha hii biashara kama inalipa. natangulia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia iPhone 3G nli-download Jamii Forums app ikawa poa ss recently kila nikiifungua ikifika sehemu ya kusoma thread in-crash nliifuta then nika download tena ila bd tatizo liko pale2,ila...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Heshima Kwenu wanajamvi. Simu yangu Nokia X2-01 inagoma ku- download apps, mara nyingi imekuwa iki-respond kwa kuleta ujumbe huu "Service Not Available. Pia OVI Store nayo inagoma kabisa...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Back
Top Bottom