Habari zenu wadau.
Napenda kuwafahamisha wale ambao wanatumia iOS kuwa kuna application inaitwa: "App of the Day" uki - install huwa inakupa taarifa za paid apps ambazo ni free kwa siku hiyo...
Nimenunua modern bt nikiichomeka kwny computer inaonyesha imekuwa connected ila nashangaa nikifunguu internet haifunguki ipo offline,nmejaribu sn kuweka kwny computer tofauti mambo ni yale yale...
Lumia yangu ina nishinda kwani ni zito sana kwa upande waku dauloding aplictation yeyote napia hata nikiwa na browes inakua sio fasta laini nayotumia nitigo hata nikibadili ni hivyo hivyo...
By C++:
Eti viongozi
.
Vodacom cheka bombastik
*149*01#
.
Dakika 40 SmS 250 na 100MB
.
Kwa tsh 500
.
Alafu Airtel *149*99#
.
Dakika 40, SmS 1000, na 300MB
.
Kwa tsh 999
.
Sasa nani...
Natumia nokia 6120c. Phone memory imejaa kiasi kwamba hata sms kuingia ni shida. Msaada wadau. Mwanzo phone memory ilikuwa MB 15. Lakini sa hv ina KB 45. Na sijui tatizo ni nini?
Habarini wakuu, wadau msaada tafadhali! nimejaribu kudownload linux version tofauti tofauti lakini tatizo langu lipo kwenye ku-install. kila nikijaribu inaniletea error flani hadi nashindwa...
Nimeweka kwenye pc yangu windows 8.1 na kumaliza kila kitu mpaka kufungua microsoft a/c nika update drivers sa ikaitajika kurestat mashe kuwaka inadai ni sign in na microsoft a/c lakini nikiweka...
Kwana nitoe shukran kwa wote watakaochangia katika uzi huu... mm natumia samsung galaxy tab (GT P1000) Na ina OS ya Android 2.2 froyo... swali langu ni kwamba kuna vitu navikosa kwa kutumia vision...
wakuu naombeni msaada.. nimetoka katikati ya mji juzi baada ya nyumba yetu ya iliyo nje kidogo ya mji kuisha..sasa dah ninapata shida ambayo sijawi kuipata ninapotaka ku surf mambo yangu kwenye...
Naombeni ushauri wa kitaalamu Kwani nataka anzisha biashara ndogo maeneo ya vijijini kwa kutumia mfumo wa umeme jua (Solar).
Ndani ya business premise moja nitataka kuwa na uwezo wa kuchaji simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.