PILLOW POWER: Zinakuwa na Battery2 za lithium polymer, Moja inawekwa ndani ya mto na nyengine inakuwa kwa nje.
Kama battery ikifa inaweza kubadilishwa hivyo utaendelea kutumia mto wako.
Pia...
Windows 8 haitaki kabisa ku-instal modem. Sababu ni kwamba device manager inaonesha kuwa hakuna drivers za hizo modem moja ya voda na ingine airtel. Zote zinakataliwa. Ntazipata wapi hizo drivers...
Sina hakika kama hili lilishawasilishwa hapa.
Katika siku za hivi karibuni nilivutiwa na matangazo ya televisheni yaliyodhaminiwana TANESCO juu ya matumizi bora ya nishati ya umeme kwa kutumia...
DAP (Download accelerator plus)
This is the first download accelerator I used. You can use this software as many days as you want without purchasing a license but it comes with ads( They are not...
Curved LG G Flex Smartphone Available to Pre-Order for £690
The curved LG G Flex smartphone is now available to pre-order in the UK, with an eye-watering price tag of £690 without a contract...
Laptop yangu hp ina ram 4 gb ila baada ya kupiga window na kuChange partition naona (929 MB) usable kabla cjapiga window ilkua (3.99 GB) usable.naomba kujua tatizo.natanguliza shukran
Habari
wana Tech, nilikuwa naomba msaada jinsi ya kujiunga na eBay na kuweza kupata huduma kupitia eBay
kwa kuweza kununua bidhaa toka hawa jamaa je inabidi niwe na sifa zipi au vitu gani mfano...
Wakuu Azam Media wametoa chaneli ambazo zitakuwa kwenye kin'gamuzi chao. kwa mtazamo wangu wameshindwa kukidhi matakwa yangu kwani nilifikiri watakuja kivingine lakini chaneli zao ni zile kama za...
naitaji sana kujua teknolojia hi.kwa yeyote mwenye uzoefu naitaji anisaidie coz nimesoma vitabu vingi bado practical tu ili nifanikishe lengo langu..kwa yeyote anaye jua au mtu anamjua anaye...
Niliweka pswd nikawa nimezisahau sasa katika kuingiza mara nyingi ndo nikaharibu kabisa ikawa inataka niingize email yangu ya gmail sasa tatizo nilikuwa nimefunga connection za net so email...
Wakuu ni samsung s4 ila tangu juzi imeniweka offline-siwez piga simu-kozi inakata,na nikipigiwa naonekana sipatikaniki hewan-though kwenye simu bar za network zipo full-
kama kuna mwenye clue what...
Wana jamvi, naomba kujua jinsi ya kufanya ili niweze kuona youtube video, natumia wifi network ya kampuni lakini hamebana kuona youtube na kudownload. Tafadhari saidieni wataalamu.
Jamani naombeni msaada kuna PC yangu aina ya Toshiba iliharibika nikapeleka kwa fundi akaniambia moto ulikuwa mkubwa PC ikaungua. Kumwachia anitengenezee akaweka Motherboard mafuta. Nimeipeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.