wadau
tuzicheki gharama za mtandao mpya wa GSM wa Benson Online BOL. Jamaa wanaingia kwenye market ili kupambana na tigo, vodacom, zantel, airtel,ttcl mobile na sasatel. (ambao baadhi ya hawa...
Naombeni mnisaidie wakuu!
Mfano nimetengeneza website yangu na address yake ni maybe ni www.tangopori.com
sasa nataka na email address yangu iwe labda 12345@tangopori.com
how do I do this?
NB...
Habari za mapumziko ya w/end wanajamvi?
Laptop yangu ilikuwa na OS mbili ambazo Windows 7 na Ubuntu 12.10
Wakati wa kuinstall Ubuntu nilitumia WUBI. Mwanzoni ilipiga kazi vizuri lakini ikafikia...
Natafuta watu ambao wako interested na mambo ya technology katka field mbalimbali ambao wangependa kushirikiana na wenzao kujadili mambo mbalimbali kupitia magroup mitandao ya kijamii na kuweza...
Ninatumia huawei y300 nmeiroot cmu yangu naomba msaada wa namna ya kutumia droid vpn kupata free internet na mitandao ya kbongo msaada wenu ni muhimu sana kwangu
Habari wanajanvi!!
Ndugu zangu mimi ni mmoja kati ya wale wanao miliki simu aina ya Tecno P3, lakini leo nimeexperience the difference pale nilipokuwa na install baadhi ya applications naambiwa...
Kwa mwezi mzima nimekuwa nafuatilia CRDB kwa aajili ya kuactivate card yangu kwa ajili ya kuactivate online transactions bila mafanikio. Naishia kupewa majibu yasiyoridhisha toka makao makuu...
For those BB users i have special line for free internet service BIS special for blackberry..there is no even a cent in it and it work fine..for all apps..including...
habari wana jf,
naomba msaada wenu, simu yangu speed ya kufungua internet na kudaownload imepungua tofauti na mwanzo,, mara nyingi huwa inaniandikia "internet storage is almost full"
kwa yeyote...
The most important thing is that, once hidden with this method, the files/folders cannot be viewed by anysearch options even if you click Show All Hidden Files and Folders
Hiding the most...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.