Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani habari zenu? Mi ni mzima kwa kweli, sasa mi nina samsusang galaxy s1 model s gti900 nimempa mtaalamu mmoja ani upgradie sasa ikatokea ikazima na imeshindwa kufanya connections na computer...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
How can you send message on facebook to anyone if you r Blocked 1» go to ur mail acc. 2» Compos new mail 3» Entrer "username@facebook.com" ( which id u want to send on facebook) 4» send it
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Nazihitaji sana hz game.naombeni msaada...hata zikiwa 2012 poa tu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
J TW
0 Reactions
2 Replies
867 Views
kuna laptops zinauzwa kariakoo kwenye duka fulani la wasomali, ni ya HP processer yake ni 2.8ghz, ram ni 2gb, hard disk ni 250gb na ni duo core wanadai ukaaji wa chaji ni wa masaa 2 na warranty...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari wakuu....leo nimeona nianzishe kauzi kanachoelezea jinsi ya kutumia blackberry kama modem kwenye kompyuta kwani utakuta mtu ana smartphone lakini bado akitaka internet ananunua modem ya 50...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
*
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jumapili wana jf, Nakaa mabibo makuburi na umeme ulikatika Jana saa 4 asubuhi mpaka muda huu saa 11 alfajiri ya leo bado haujarudi. NAOMBA MNISAIDIE NI SEHEMU KUBWA YA JIJI LA DSM AU...
0 Reactions
3 Replies
742 Views
Nahitaji application nzuri ya kufanyia kazi kama zinazofanywa na powerpoint katika ipad. Naomba anayejua anifahamishe za free au za kununua katika app store. Asante
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu za asubuhi!, Mimi leo nimefanikiwa Ku Jailbreak Ipad yangu yenye iOS 7.0.4, nikaona bora niwajuze nyinyi pia jinsi ya kufanikisha,: Kwanza kabisa kuwa safe make sure una itunes(latest)...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
wana jf nimenunua kingamuzi cha azamtv.naitaji fundi wa kukifunga dau langu ni Tsh 15000 msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu simu yangu (Google Ideos) imeji lock baada ya Bwana mdogo kuingiza wrong unlock patterns zaidi ya mara tano, Inanitaka niingize E mail na Password ili kui unlock, lakini tatizo ni kuwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nahitaji application nzuri ya kufanyia kazi kama zinazofanywa na powerpoint. Naomba anayejua anifahamishe za free au za kununua katika app store. Asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ni mda umefika sasa jf tech tuanze kuchangia mada za. jinsi ya kuhack. mda wa. kujifunza kudownload na kuplay movies umeisha its time to move on, nkiona kuna wito wa watu ntaangusha site 3 hapa tz...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu,mwanzoni nilikuwa natumi IDM Kudanlod videos na audio katika laptop yangu ila kwa sasa inagoma na wanataka niinunue/niilipie kwa kuwa muda walionipa wa siku 30 for free...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nimecheki google lkn anaetumia anieleweshe zaidi kwa kiswahili simu gani inaweza kuapply instagram?:flame:
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Poleni na majukumu wakuu. Tatizo langu Kila nikijaribu keys ninazopewa zinafeli. Nahitaji msaada wenu wakuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu heshima kwenu , nnaomba msaada kama kuna yeyote mwenye utaalamu wa ku update samsung windows phone maana nmejarib ku update kila mara inagoma
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Wadau naombeni mnisaidie nawezaje kumuunganishia jirani yng Dstv toka kwangu nayeye awe na uwezo wa kubadirisha channel mwenyewe? Je kuna kifaa cha ziada kinahitajika ili awe na uwezo wa kubari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom