Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Yaani leo hii tv lazima ipone bila kumwita fundi! Wadau nimerudi tena nikiwasha tv yangu huwa inachukua muda mrefu kuscan,inaweza chukua dk tano.Na kwa mfano umeme ukikatika afu ukarudi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii.. i hope weekend imeanza vyema? Nilikuwa na maswali kadhaa juu la hilo jambo na wenye uelewa au walioshafanya hii kitu.. nilikuwa najua nahaitaji kufanya nini na inacost...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Nina mpango wa kununua moderm ila mpaka sasa nashindwa ninunue ipi yenye speed na bora zaidi.. Nimefikiria ninunue Universal Moderm ambayo haiitaji kucrack au ninunue ya airtel au vodacom ndio...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari zenu wandugu, kuna laptop (macbook pro 15'') ambayo ni first generation na ina run os x 10.4.11, ambayo huwezi kuupgrade tena hadi u purchase 10.5. naomba mnisaidie kama naweza pata mtu...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Wana jf naomba msaada wenu,nnahitaji kununua Laptop yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya ku edit video na movie,je ni laptop yenye uwezo upi nitafute? Binafsi napenda sana bidhaa za Samsung.Natanguliza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu inaitwa BE PHONE INA SUPPORT ANDROID MSAADA PLEASE
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
site nyingi kama moja wapo hii inafaa kuwafanya marafiki zalo watoe macho hadi basi The Home of CricketArchive then jaibu kuingiza html code kama hii kwenye search...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Simu yangu ipo busy wakati wote, hata kama siongei na mtu. Nipigiwa mpigaji anajibiwa mwenye cm yupo busy. Kuna maujanja yakuondo hili tatizo? Msaada tafadhali. NOTE: Kila sim card nayoweka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Norton Mobile Security Lite protects your mobile device against loss, theft and malware. Norton lends its anti-malware, anti virus, and security expertise to mobile. Your life and your important...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hasa aina ya Samsung. Na ni wapi naweza pata SAMSUNG LED Tv original hapa Dar? Asanteni!
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Wadau naomba kujua je *#0*# ni application tosha kutambua kama ni samsung orijinal au hata za kichina grade 1 zinakiubali hii kitu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomben mnisaidie function ya namba 5 katika cm,coz naona cm zote zinaalama katika hyo namba.
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Nime-update iphone 4s to iOs 7.0.4. Kisha nimejailbreak! Nimejaribu kurudisha baadhi ya apps na Tweaks lakini hazifanyi kazi! ILost finder imeingia but hairespond! IFile nk vilevile! Muhimu kwangu...
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Naomba kujua, kwa nini ki-download application ambazo, kwa mujibu wa maelezo ni kwa ajili ya simu fulani kwa mfano Nokia E61i au S06v3, zinagoma ku-install au naambiwa "not compactible". Naomba...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wadau! Nauliza kwa anayejua ni king'amuzi gani kina channels ambazo zinaonyesha UEFA champions league na kinafanya kazi kwa huku mkoani Geita. (Exclude Dstv and star times)
0 Reactions
19 Replies
12K Views
simu yangu s4 galaxy ukichange kuweka mtandao wa 3g haitaki,inakubali GSM tu..nimejaribu kuiset mpaka nimechoka lakini wapi.Msaada kwa anaeweza kunisaidia
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Natumia airtel kuinstal wameniambia niingize pin but sijatumiwa hzo pin nifanyaje?
0 Reactions
3 Replies
858 Views
nimeamka kwenye sharing mode today, so kwa wale ambao wanataka kujifunza C++ lakini kupata materials inawasumbua, Tumieni hicho kitabu nilicho attach, ni kizur mno, and takes a very short time...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf . Natumia simu ya android nomedownload file la document to go. Nashindwa kuedit document zangu. Mawazo yenu mhimu.
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom