Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kwa yeyote anyejua duka linalouza simu za mkononi za kwa Dar Alcatel model yake hiyo hapo juu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wataalamu naomba kujua jinsi ya kuhack accaunt kwenye mtandao wa facebook ni kwania njema tu.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
kwenye king'amuz cha startimes kuna kituo kipya ch televishen kinaitwa TV 1 chanel 103 hiki kituo ni cha hapa bongo ama nje ya nchi na mmiliki wa hiki kituo
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Kwanza Heshima kwenu wana Jamvi. Kuna Tatizo la muda mrefu kwenye sim yangu na bado sijalipatia ufumbuzi Nimekuwa kila nikitumiwa msg huwa inaweza kuingia zaidi ya hata mara tano ikiwa ni ileile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu sijui wanahic mi ni spy.nisha wapm watu zaidi ya wa 3 kwa ajili ya kupata huduma ya guru internet lakini hakuna hata mmoja aliye hata kujibu.naomba mwenye kuweza kunisaidia pleas anipm au...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Habari wakuu Kheri ya mwaka mpya. Nina computer yangu Hp Compaq (hp D330 ut) hii ndio kila kitu kwangu nikiaanisha ndio naitegemea kufanyia kazi zangu. mwezi ulio kipa ilianza tatizo lakuzima...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
habar zenu wakuu nilkiua nahitaji kujua hiz aina za spreding virus zinavyo oparate na how to avoid them ..trojan horse ..worm ..spyware ..Rogue security software :majani7:
0 Reactions
2 Replies
575 Views
Kickstarter is the world's largest crowdfunding platform.[2] The company’s stated mission is to help bring creative projects to life.[3] Since its launch, more than 5 million people have funded...
3 Reactions
0 Replies
717 Views
Wanajamvi napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wana JF kwani imeniwezesha kujua namna na kufanikiwa kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao,baada ya kujifunza kwa takribani siku kadhaa niliamua...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Cm yangu inamiez 3 nikiitouch inavibrate na kuleta application nyingi nyingi baadae inaandika recent' wakati mwingine touch inagoma kabisa! Nikiwa naandika msg inarudia rudia maneno msaada...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salam wakuu wa tech! Huenda kuna baadhi hawajaipata hii kitu; basi chungulia hapa http://i.glide.me/join. Ahsanteni!
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanateknolojia kwa anayejua namna ya kuhack mobile number msaada jaman
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Anaefaham tafadhali anipe mwanga..mm nkipiga cm Uganda mtu simpati lakn yeye akipiga ananipata ye anatumia voda...mm nataka nmpigie je nfanyeje?
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Nina simu tajwa hapo juu. Nataka kuiformat ila aliyekuwa anaitumia aliweka password zake na mimi sizifahamu. Nikitaka kuiformat inataka niweke codes. Nisaidieni ni jinsi gani nitaweza ku format...
0 Reactions
2 Replies
693 Views
jaman naombeni msaada wenu plz, kuna htc iliwekwa chaji kuanzia saa 6 ya usiku, lakn nlipoamka asbh naiwaisha inagoma kuwaka. Msaada wa ushaur plz
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Wana jamvi naomba mnifahamishe ni smartphone ipi ya tecno ambayo ipo kwenye chat kwa sasa hapa tanzania
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Wanajamvi, niliireset simu yangu android v 2.2.1 na kupoteza data nyingi contacts zikiwemo. kwa bahati nzuri nilikuwa na back-up file kwenye format ya BAK na SPB lakini nimeshinda kurestore...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu wapi naweza pata screen nyingine
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi everybody, Connect your distant premises, Have your bussines / resident places linked to one another. Share your electronic / digital data to distant places. All these get enhanced using point...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
sim yangu ni samsung S3 mini,,,ukiiwasha inawaka kawaida ikitaka i-display inagoma thn inaandika punic-upload mode,,inaishia apo,,,mejarib kwenda kwa mafund softwares wameshindwa,,,so km kuna...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Back
Top Bottom