Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimejaribu kudownload upya watsapp na pia kurefresh lakini bado kuna contact haionekani. Na hiyo contact iko kwenye watsapp
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilinunua TV aina ya LG (LED) 47 Inch tokea mwaka February, 2012. Nimeitumia vizuri tu lakini ilipofika March 2013 ikaanza ugonjwa ambao mpaka leo unaendelea.Ukiiiwasha na kutumika kwa muda kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa jinsi ambavyo ninaweza kutumiwa pesa na mtu aliyeko AMERICA kupitia Western Union maana ameomba nimpe njia kupitia Email
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaam wana -JF; Naomba msaada wenu wa ku-restore channels. Kwa bahati mbaya nimebonyeza "OK" kwenye factory default ktk tv na nikajikuta napoteza channels zote. Natumia receiver ya mediacom...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Wadau heri ya mwaka mpya Tangu jana PC yangu kila nikiiwasha inaniletea icon ya kuonyesha kuna error hii QtNetwork4.dll licha ya kwamba nikiicancel pc inaendelea kufanya kazi vizuri tu.. sasa...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
nahitaji kujua wapi nitapata modem za TTCL mpya
0 Reactions
3 Replies
759 Views
Wakuu, nahitaj msaada kwa yeyote anafahamu jinsi ya kubypass these ANNOYING! surveys, plz kama kuna trick yeyote, msaada tafadhal;
1 Reactions
6 Replies
1K Views
heshima yenu wakuu,mimi natumia simu ya tecno t551,sasa tatizo ni kwamba nimetumia MMS na rafiki yangu nimeshindwa kuifungua.vodacom wemenipa hi https//mymms.vodacom.co.tz. nimejaribu kuifungua...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Kuna mzigo nataka kuagiza nimesajili kila kitu lakini inakataa kulipia inanipa Majibu haya Payment typesShows credit card type you entered Invalid debit or credit card type. Visa MasterCard...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaji hiki kidubwana, Nipo Mbeya Mwenye nacho anaweza jongea tukafanya biashara
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Nnatumia laptop aina ya hp windows 8 toka niinunue haijawahi kuwa na shida yoyote ile. N i hivi juzi imeanza tatizo la kuhitaji ku-restart kila baada ya muda mfupi ili ikamilishe updates, na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu nawatakia heri ya mwaka mpya. mm nimekaa na kufikiri hivi hakuna namana ya kufanya au hakuna program au softwere ya kuzuia au kukomesha wizi wa sim hapa bongo? hasa hata kwa hizi zenye...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani wadau nimeskia unaweza kufanya maujanja ya kuchakachua king'amuzi cha startimes na ukapata machanel yote bila kulipia jamani anayejua anijuze basi.
0 Reactions
23 Replies
17K Views
habari zenu wakuu jamani naomba msaada wa ku download viber kwenye nokia e63 maana nimejaribu nimeshindwa
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Have you ever wondered why your phone performs smooth during the first few months of purchase but begins to act funny later? Well if you havent this article will enlighten you more. Why Your...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Wadau naomba mnisaidie natumia simu haina ya nokia x2-02 lakini nikitaka ku install whatsapp inagoma
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Computer ni za chuo zinatumia windows xp sasa ishu inakuja kwamba mtu anaeingiza anaificha keyboad ili tusiifahamu sasa nlikua nauliza kama kuna njia ya kuijua password tukiwa logged in
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimetumiwa ujumbe huu na mtumiaji mwenzangu wa Whatsapp. Je ni wa ukweli au magumashi? Hello, I. Am DAVID D. SURETECH founder of Whatsapp. this message is to inform all of our users that we...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni sehemu gani kwa dar es salaam wanapo uza Stickers mbalimbali ambazo tunaweza kubandika kwenye laptop ambazo zina represent vitu mbalimbali? kwa mfano programming languages au hata kampuni??
0 Reactions
4 Replies
3K Views
hello wana JF, nilikua naombeni msaada ya jinsi gan kukonfiga bb 8520 ili niweze kutumia huduma ya inernet for free,hope kuna jinsi ya kufanya hivyo hasa kwa instant messaging applications. thenx
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Back
Top Bottom