leo pita pita yangu internet nikaona opera wametoa browser mpya na hii browser inatumia engine ya webkit sawa na engine ya google chrome, nikaona ngoja niijaribu yani nikawa very suprised. browser...
Wadau nina tablet mpya ya Samsung galaxy tab 3...tatizo limekuja kwenye kutumia play store, toka juzi naambiwa there is problem in connecting google server...
Nimejaribu account ya zaman na hata...
On the whole Internet, there are approximately more than 150 million active websites up and running. As a result, it often becomes a real challenge for the users to identify safe websites that are...
Ndugu wapendwa siku tatu zilizopita nili download game ya fifa 2014 yenye ukubwa wa GB 6.65.
Game hii inanitaka niweke activation key ili niweze kulitumia.
Nilifanya jitihada ya kutafuta keys...
jaman naomben msaada wenu wa haraka,nimesahau password kwenye pc yangu,naomba wataalam wa it na computer mnielekeze n jins gan naweza kuingia au kukrak password wakuu.
Naomben msaada juu ya activation code ya theft tracking software (mGuard) kwenye tecno T611 Maana website walioitoa kwaajili ya activation ( deximobile.com) haipo active. Au kama kuna maujanja...
Niko kwenye daladala naelekea posta, mimi nimekaa ila kuna dada pembeni yangu huku akiwa amebeba begi wengine huita kipimajoto basi begi la huyu dada kalitundika begani ila kitako cha begi...
Hallo wakuu? Nimepokea hii message about whatsapp.kuna ukweli wowote?
✅ Hello, I. Am DAVID D. SURETECH founder of Whatsapp. this message is to inform all of our users that we have only...
Habari zenu wadau..
naombeni kufahamishwa juu ya teknolojia inayotumika kuzuia radi... yani kiujumla, inafanya fanya vipi kazi mpaka inazuia radi?
-je, kwanini radi inahusishwa na makundi...
Wanajukwaa kwa kumbukumbu zangu Mara ya mwisho ippmedia walikuwa wanapatikana channel zao za itv eatv Ndani ya king'amuzi cha EasyTv tuu kwa Tanzania, ila tangu 2014 January channel zao hazipo...
nimepeleka Laptop yangu compaq 515 kwa fundi ili isafishwe feni، lkn baada ya kusafishwa ilipo fungwa ikakataa kuwaka.
kwa maelezo ya fundi akiifungua akijaribu kuiwasha inawaka lkn...
Habari.
Kuna rumors nimesoma kwamba iPhone 6, ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu quarter ya 3, itakua na screen size tofauti tofauti. Sio kama tulivozoea kwamba, kila baada ya miaka miwili, Apple...
jamani nahitaji msaada kurestore factory setting ya simu itel IT 1350 kuna mtu amejaribu patterns mara nyingi simu umejilock ikiwaka inauliza email lakini ukiweka haikubali sababu mtandao unakuwa...
Wadau kutokana ugumu wa maisha nimeamua kununua kigari kidogo ili kupunguza ghalama za mafuta hapa mjini, ila napata taabu sana kupita sehemu zilizowekwa matuta, nilikuwa nimefikiria kwenda Gereji...
Habari wadau, Endapo kuna mtu aliyewahi kutumia Bol mobile Dar, tafadhali nipe mwanga kuhusu speed ya Internet ya hawa jamaa, maana naona bei zao ni rahisi ila ndo bado wapya.
wakuu akaunti yangu ya facebook imefungiwa ni mwaka sasa sijaweza kuingia,.
Mara ya mwisho kuingia waliniambia kwamba nimesahau password wakasema wataituma kupitia namba yangu ya simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.