Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu heshma kwenuuu nahtaji kujua kuhusu tunnel guru maana mie ninayo kwenye compyuta yangu lakn sioni kama inafanya kazi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je Tanzania Tunazitumia Zip Code? Na Kama Hatutumii Sa Pale Kwenye Hiyo Part Nijazaje? #ThanksInAdvance . Help Guys: LORDVILLE rapamsomi90 donlucchese
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wapendwa kwa anaejua hizi ki2,naitaji sana. Hapa bongo kariakoo zinapatikana kwa bei gani? Ni mchina. Pls na bei kwa anaejua.
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Natumia kingamuzi cha ting. Napata msg hizo kwa some stations. Nini tatizo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu tv yangu aina ya bush flat screen ina king'amuzi(DVB)kimejengewa ndani yake,niki search channel zote znazo rushwa na startimes znakuwa detected lakn hazioneshi!je kuna uwezekano wa kufanya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanaJF!!!....nina Galaxy Note2,asubuhi ya leo nlikuwa nikibrowse profiles za watu mbali mbali kwenye wikipedia kwa kutumia browser ya wikipedia ambapo ghafla simu yangu ilizima...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nahitaji toshiba charger used au new lakini napendekeza used nina shida nayo :confused2: aliyenayo anitumie message 0713880249
0 Reactions
0 Replies
620 Views
waung'wana , anayefahamu kutumia SPSS nimekwama sijui kuitumia natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The year is almost over and i must say that this year was one of the most competitive years in the smartphone era. This year , we've seen favourite brands like nokia and black blackberry lose...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha internet kny simu mpya natumia mtandao wa vodacom
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kama kuna mtu anafanya webhosting na ku register domain name hapa tanzania at affordable price naomba ani pm
0 Reactions
6 Replies
885 Views
Naombeni MSAADA WA KUITAMBUA SIMU ORIGINAL AINAYA #Iphone4s MSAADA WENU JAMANI!
0 Reactions
3 Replies
564 Views
Naomba mtu yeyote aliyena ujuzi wa kutengeneza simu ajitambulishe tuwe katika kikao ili tuweze saidiana mawaidha. Sema NIPO kujitambulisha.
0 Reactions
3 Replies
798 Views
wadau mnisaidie,Nikiinstall Cool Edit inakubali ila kuirun ndio inagoma na inanipa ujumbe huu "The system has not been configured correctly to run cool Edit.Please run setup again" ila nikiinstal...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Wakuu heshima kwenu.. Naomba maelekezo ya kuunlock moderm ya huawei e173...au jinsi ya kutumia nokia pc suite ili ni access internet bila ku unlock.. Nawasilsha kwenu wakuu..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu sijui wanahic mi ni spy.nisha wapm watu zaidi ya wa 3 kwa ajili ya kupata huduma ya guru internet lakini hakuna hata mmoja aliye hata kujibu.naomba mwenye kuweza kunisaidia pleas anipm au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau naomba mnisaidie kama kunamtu anaefaha how to program microcontrol au anafamu mahari naweza enda jifunza. nawasilisha wakuu.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni rahisi kuficha na kufichua mafiles yako kwenye PC bila kutumia software ya aina yoyote. Tutatumia Command Prompt, Mfano una folder liko drive D lina videos ambazo hutaki mtu mwingine azione...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Wanajamvi, heshima kwenu. Naombeni kujuzwa namna kufanya setting za proxy katika Mozilla Firefox.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau simu hii inastaki mara kwa mara na nmei store so muda xaxa nifanyeje jamaaan ili isisumbue hasa wakati wa kupiga inamkwama snaaa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom