habari za asubuhi wadau wa jf. ni matumaini yangu mu wazima wa afya na nina furaha kufahamu hilo. ningependa kujuzwa nanma ya kufungua loptop ambayo imefungwa ishindwe kuingia kwenye mitandao...
Nimemnunulia jirani yangu kisimbuzi cha startimes leo ila baada ya kuwapo na taarifa kuwa kuna madish yanakuja tukafikira kuachana na mpango wa kununua anterna kwa kupunguza gharama ,nimekuwa na...
Hello!
I am planing to install MS exchange server 2013 in my office and then enable it to pull all company emails from our web host (web mail server). for 2003 and 2007 there were built-in POP...
Heshima kwenu wadau,
Kuna mtu namdai tangu 2010 kiasi cha zaidi sh. Laki 1,cha ajabu ni kwamba kila nimpigiapo simu naambiwa sina salio la kutosha kupiga simu wakati huo nina salio zaidi ya sh.500...
Heshima kwenu wadau wa jamvi hili, naomba mwenye ujuzi na visual basic6.0 anisaidie namna ya kuregister object library
maana kila nikiselect inaniambia "object library not registered in registry"...
Hi pple
Yaani mm tokea asubuhi siwezi tuma message wala kupokea message japo 3G na calls nakula kama kawa
Nimejaribu google nikakutana watu wana similar problem lkn soln walizopewa niku-set...
Eti viongozi
.
Vodacom cheka bombastik *149*01#
.
Dakika 40 SmS 250 na 100MB
.
Kwa tsh 500
.
Alafu Airtel *149*99#
.
Dakika 40, SmS 1000, na 300MB
.
Kwa tsh 999
.
Sasa nani BaBa...
Zipo nyingi kariakoo na kwenye maduka ya hizi za Apple .
wanauza 150,000 -250,000 fedha za kibongo.
kuna mdau aliyekwisha zitumia. kama vipi tununue maana vidole kwa simu ni noma jamani.
wataalamu natumia m3 techno haitak kusoma picha ukifungua gallery inakwambia not installed on phone nimejarbu kila njia nimeshndwa Masada wenu nauhitaj plz
Hi....wanajamii napenda kufaham kama kuna uwezekano wa ku safisha picha za android...ambazo ziko kwenye simu yang...na pia inaweza kucost shillng ngap apa Tanzania....asanten
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.