Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
....hivi nawezaje ku-print message zilizopo kwenye simu yangu? Natumia Samsung Young Galaxy (touch screen). Natanguliza shukurani zangu za dhati.
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Samahani Wakuu pengine si jukwaa halisi kwa post yangu, nimeamua kujiondoa Facebook na nilifuata hatua zote ambazo pia nilizisoma kwenye jukwaa hili namna ya kujiondoa facebook. Nimeelekezwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF. Samahanini kwa usumbufu. Naomba mwenye kujua Web Application zilizotengenezwa kwa C++ anisaidie link zake au anitajie Web husika. Pia naomba kwa mwenye uelewa naomba anileze...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Habari. Nnatatzo kwenye hiyo simu ninapompigia mtu tunaelewana baada ya sekunde kazaa hanisikii tena mpaka niweke roud speaker ndo tunasikilzana. Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia au...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wana JF naomba msaada jinsi ya kuunganisha net kwa simu tajwa kwa kutumia line ya tigo kwani imenigomea nami hapa nilipo hakuna agent wa tigo na dar ni mbali nipo mkoani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jamani namba hii 15544 imekuwa kero. Yaani kama simu yako haina uwezo wa ku-Block number basi utateseka sana. kuna namba nyingine pia ya Tigo nayo inasumbua kichizi. Dawa tu ni Kuweka Auto Reject...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
wakuu mambo niaje? nina e mail yangu ya hotmail... sasa kila ninapofungua inaniambia niingize code na sijui hiyo code naipata wapi msaada kwa mtu yoyote anaejua how to fix this....
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Naomba msaada kwa mtu anayeijua websites ambayo naweza kupata free domain nina blog ya blogspot nataka kuanza kuitumia, hata kama unaweza kunitengenezea domain funguka tusaidiane
0 Reactions
13 Replies
5K Views
iCycle This is the Holy Grail of bicycles. Whatever your style of driving – on the roads through the mountains, just relaxing or riding in an urban setting, the bike will switch automatically, or...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wadau kama kichwa cha thread kinavyosema niliamka asubuhi tu simu naiwasha haiwaki naomba msaada nifanyeje ili iwake ?
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Ndugu wadau.......naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka call info kwenye simu yangu. Kuna baadhi ya watu nimekua nikiwapigia simu....then naona details kwenye hiyo namba...
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Naomba msaada, nina simu aina ya yxtel g928 ina os ya android v4.1 sasa simu yangu ina mfumo wa EDGE nataka iwe GPS simu yenyewa ni chinese product. Ahsante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
* VIRUS - Vital Information Resource UnderSeized. * 3G -3rd Generation. * GSM - Global System for Mobile Communication. * CDMA - Code Divison Multiple Access. * UMTS - Universal...
3 Reactions
28 Replies
41K Views
Wana jamvi, naomba kujua jinsi ya kufanya ili niweze kuona u-tube video, natumia wifi network ya kampuni lakini hamebana kuona youtube na kudownload. Tafadhari saidieni wataalamu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hivi ni keli kwamba steve jobs alizikwa kwa namna hii?.kama ni kweli dah!!!
1 Reactions
10 Replies
5K Views
program zote za internet zimefutika hata siwezi ku set homepage..alafu icon ya folder la STORE limefutika.. yani siwezi ku access internet kabisa na sikubadilisha kitu chochote,, naombeni msaada
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Habari Wakuu!! Jamani mimi ni Wakala wa hizi huduma za simu kama vile M-pesa/Tigo pesa ila hawa jamaa wa akatwi mtu nilikuwa sijawa na huduma zao ofisini kwangu. maana mwanzo nilituma fomu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa! Nina tatizo Samsung Galaxy Tab 10.1 kila nikiunganisha inafanya kazi kwa muda mfupi kisha inakata na kuweka maelezo ya No Internet connection. Naomba Msaada wenu. Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Heshima yenu wanajamvi, Naomba msaada wa key za ku-unlock SAYTIME 11 ya pc
0 Reactions
0 Replies
602 Views
wadau ni rahisi sana ku hack na kupata passwords za WIFI, unahitaji tu kudownload "WIFI password hack v2.01" nitawapatia site ya kudownload ambayo ni hackingprograms.net
3 Reactions
4 Replies
7K Views
Back
Top Bottom