Heshima zenu wakuu. Naomba kufahamishwa na wataalamu wenye kufahamu ubora wa Tecno smartphones. Ni ipi nzuri kwa maana ya specifications na durability isiyozidi 250,000 tshs. Nawasilisha Wakuu.
Nafahamu kuna uwezekano wa kutumia computer kama tv kwa kutumia tv box, tuner etc! sasa wana JF Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuibadili flat screen monitor kuwa TV kwa kutumia VGA cable au...
Heshima zenu wakuu. Jamani nina pc yangu ilikuwa ikirun windows xp2 nikajaribu kubadilisha na kuweka win7 ultimate. Ilipomaliza kila kitu katika installation, baada ya kufunguka nilitegemea...
wakuu,
hii cm inanikera sana na notfctn ya phone storage space is going low. nahis zile unfinshd/unsucfl downloads ambzo nlisave kwenye intern memory zitakua zinasababisha ushenz huu!
Wakuu Heri ya Mwaka mpya!
Ninataka kununua kompyuta 10 - 20 flat screen desktop kwa ajili ya kaproject kapya (educational project) kalishokwisha anza tayari. Ninahitaji at least Ram 2GB...
Habari JF store natumia Huawei y 300 tatizo linakuja inapata sana moto napoiweka kwenye charge au pale napoitumia hasa betri ndo inayopata sana moto..Msaada tafadhali.
Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye...
Habari zenu,naomba msaada wenu hasa enyi wataalamu wa teknolojia .birth certificate yangu na leaving certificate zina lamination ,na ninataka kutoa lamination ili nifanye yangu je ,stationary...
salam wakuu,
i've recently acquired a chinese droid device which runs 4.2.2 na nahitaji kuifanyia rooting. nimejaribu kuinstall framaroot but i wasnt succeful. nifanyaje wakuu? pia apps kama bbm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.