wataalam,niliwahi kuipata amos 5 kwa dish la Eurostar 6 ft kama miezi 3 iliyopita,lakini kwa sasa kila nikiijaribu haipatikani tena,setup ya dish iko sawa maana naipata leuters news ambayo pia ipo...
habari wakuu..
naomba msaada jinsi ya kuroot hii simu Huawei Ascend pia niweke custom ROM.
cc: C6 chief-mkwawa NingaR C++ Etc etc plz help
Shukrani Sana.
Poleni kwa majukumu ndugu zangu wote. Napaswa kusoma nyaraka muhimu iliyo katika mfumo wa PDF, kwa kutumia simu aina ya Nokia E72.
katika kufanya hivyo, nimekumbana na changamoto hii "Unsupported...
Watumiaji wa Microsoft word 2003 na OS ya Window XP watakula ya chuya kwani support itafungwa hapo april 8,2014.
pole sana wasiotaka mabadiliko.
Support ends in 2014 for Windows XP and...
HIVI UMEWAHI KUFIKIRIA HIKI KITU.
AV =standard analog video
SVIDEO=Separate video /Super Video
YPbPr =High definition analog Video (analog HD video with color separation)
VGA= Video graphics...
Habari ndugu nzangu wa Jamiiforums.
Bado ninaangaika katika harakati zangu za kujifunza programing.
naomba kufahamishwa, hivi ni language gani nzuri kwa mtu anayeanza kijifunza programing from the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.