Nimepata tatizo kwenye handset yangu naomba wanaoweza wanisaidie kwenye tuta.
Ni hivi simu yangu (iphone 4) imezimika kwenye screen lakini ukiita inaita (kwa anaye piga) ingawa kwangu haioneshi...
Wakuu mi natumia Nokia lumia 610 sasa Kuna vitabu nimevi download kwny cm ila nimekuwa nikioata shida kuvisoma kutokana na kutoa maandishi madogo sna na hrs nikiyakuza bado inakuwa shida kusoma...
Wakuu naombeni msaada kati ya htc na huawei ni kampuni gan wanatengeneza simu bomba maana nataka ninyakue mmoja wapo ninakahela kidogo sasa nataka niwe na smartphone ahsanten sana
Hallo,
Nataka kununua Smartphone brand ya Samsung. Je ni ipi kati ya hizi hapa ungenishauri kwa ubora kati ya
Galaxy Note 2 Vs Galaxy S4?
Ila brand ambayo nnayoizimia ni "GALAXY NOTE 3" lakini...
Msaada wakuu kila nikitumia wifi ya sim kuconnect na laptop yangu inafunguka frsh ila baada ya muda laptop inazima yenyewe inaletea maandishi mengi sana nispotoa betri haiwaki.ila nikitoa betri...
NImenunua kacm kangu kama week imepita, nika-instal pia whatsapp maana ndo ilinifanya niipende hii cm
mwanzoni ilikuwa nikihitaji kuingia internet inaniuliza kama nataka kutumia sim 1 au 2 mara...
habar zenu wakuu na hili tatizo katika laptop aina hp 530 ina shindwa kuwaka nikichomeka charger kwenye power button kinawaka na capslock taa yake inawaka hala baada ya 30s inazima alafu inakaa...
Jamani nina Laptop Hp Compaq nc 8230, mara ya kwanza ilikuwa na tatizo la display inawaka alafu inazima kama inapiga indicator, but nilipopeleka kwa fundi alipoifungua akatoa battery akakonect na...
Hivi jamani pamoja na kupandisha bei kote mbona internet yenu mbovu jamani......huku wakazi wa kimara,mbezi,kibamba yaani ni taabu tupu.....mbona mnafanya maisha ya wateja wenu kua magumu sana ?
Naomba mwenye kujua anisaidie jinsi gani naweza kuweka wimbo uwe ringtone kwenye iphone. Nimerajibu application moja lakini ringtone zake zinakua fupi sana kabla simu haijakatika inaanza kuimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.