Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau, Naomba kujua sehemu (kwa Dar) ambayo naweza ku-upgrade OS Blackberry 8520, V.5 kwenda OS ya juu zaidi (current). Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Are You Tech & Science enthusiast? You have infinity ambitions on Tech & Science,Right ? But how to reach to Infinity(Ooop!! no NASA'S help).Worry no More,we also work at Infinity and we give...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Wakuu habari!! kama kuna mtu anajua namna ya kuistall Android os kwenye window phone kama Lumia anipe steps. Najua ni platform tofauti lakini nahisi uwezekano upo. tafadhari siyo wallpaper au...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani ni kweli ipo app inayoweza ku hack wifi password.mbona zote nazodownload ni za kizush tu ipi ya ukweli. Natumia android 4.0.4
0 Reactions
6 Replies
2K Views
sijawai tumia iPhone toka ziwepo, kuna mzungu ambaye ni rafiki yangu..... kaja Bongo na used i4s. Kaniachia nitumie ila kuna settings na some stuffs zake kwenye simu, naomba mnisaidie jinsi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Jamani nahitaji Caustic soda kwa ajili ya utengenezaji wa sabuni. Inauzwa sh ngapi kwa wajasiriamali wenzangu mnaofahamu, na inauzwa wapi hapa Dar?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Natumia galaxy pocket duos. Inasumbua kufungua kitu..kama ni kufungua kitu inaload kwa mda hata kama ni kufungua sehem ya keypad ,inarespond polepole sana. Naomben msaada wenu wakubwa..??
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ipi iko more advanced and user friendly kati ya hizo mbili?
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Nahitaji kutengenezewa website inayoweza kuruhusu muingiliano Na website nyingine pia muingiliano Na bank mfano visa Na MasterCard mwenye uwezo huo Na mwenye bei nzuri ni pm
0 Reactions
10 Replies
2K Views
online store website for sale,inaitwa http://bongostore.blogspot.com/ bongostore.blogspot.com,il a unaweza kuredirect this sub domain to your purchased domain name,website ina features...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
simu yangu samsung b920 ni android tatizo lake inajijaza internal memory yenyewe unaweza ukaicha free mb 16 lkn baada ya siku 2 inakuambia memory getting low futa baadhi ya vitu au simu itajizima...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni vitu gani muhimu vya kuangalia unaponunua laptop na vinatakiwa kuwa na sifa zipi kwa laptop isiyozidi Tshs.500000
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaad jinc ya kuhaki cmu in case of wezi na ni aplication ip naweza itumia.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
New
Jamani Mimi naomba Msaada, natumia Tecno s3 tatzo langu nikwamba nashindwa kupata message zinazo seviwa kwenye draft.
0 Reactions
0 Replies
559 Views
HABARI wakuu....... Wataalamu wa maswala ya computer tafadhari jaribuni kuanzisha kitu kinaitwa IT-OPEN CLASS. Hili liwe darasa la watu wanaopenda kujifunza maswala ya IT katika nyanja za mf...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wajameni Taarifa ya Uhakika Msije mkapoteza simu mukadhani kuna kiinstitution kinaweza fanya Tracing Simu ikapatikana, Kwa Tanzania ni Propaganda tu na si kweli. hakuna TCRA wala Mtandao wa simu...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Kuna Application ya android/pc inaitwa "Shazam" hiyo unaifungua then unaisogeza simu/laptop karibu na speaker ya redio au computer , then baada ya sekunde chache itaonesha nani aliyeimba, jina la...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Sony smartphone cameras zinauzwa wapi kwa hapa dar?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Heshima mbele,nina hiyo pc yangu hp dv6,nilijaribu kuinstall software flan ikaiharibu windows na sasa nikiwasha pc inanipa option za kuchagua volume 4 au 2,na hata nikichagua moja wapo haidisplay...
0 Reactions
3 Replies
739 Views
Nina cmu yangu aina ya nokia n97 haina window naombeni msaada jinsi ya kudanwload na kupiga window
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom