Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakubwa. naomba mnisaidie kupata image link ya microsoft office 2013 pamoja na keys zake.
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Juzi nimenunua hii simu ya huawei y300 ila cha kushangaza kutoka tigo ila inanisumbua. Ukiongea na mtu baada ya sekunde kadhaa unakuwa hakusikii...mnanisaidiaje wakuu?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu wadau computer yangu haitowi sauti baada ya kubadilisha window ni flat desktop monitor imeandikwa NEC, CPU ni emachines 3230 pentium 4, 1.5 RAM ilikuja na window Xp nkaweka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya dvd au vcd player wengi wetu tumenunua ambazo zina uwezo wa kucheza game kwa jostick controllers , mfano kuna singsung ok sasa cha kufanya ili ucheze game hizi 300 itabidi usign in...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Katika funguafungua ya zawadi za krismas tarehe 26/12, hamad! nikaopoa kompyuta laptop! Aina yake ni Asus na OS ni windows 8. Nikafurahia kimoyomoyo nikisema: Mambo si ndio hayo? Mimi ni kabila la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba nisaidiwe namna ya kupata password rar encryption file Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Weka Calender yako ya 2014 hapa Wadau wa jukwaa nawatakia kheri ya mwaka mpya Credit: C6 {JF wallpaper used in making calender}
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangia nipo mdogo nilkua nafikiria uwezo wa hizi meter pale unaponunua token na kwenda kuingiza na zikaandka accepted ivi ni kwamba zinatumia network au? Na kama network iyo ni ipi mpka kijijin...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, nina room mbili ambazo nataka watu waweze kuwasiliana kwa kutumia simu za kawaida (landline) ila sina ufahamu wowote juu ya nini natakiwa kununua tofauti na extension mbili...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
habari zenu. natumia nokia N95 8gb.. Hapo mwanzo nilikuwa nadownload na kusave applications lakini sasa nikijaribu kudownload inaniandikia File corrupted... Certificate check iko sawa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau naomba msaada juu ya bios ya Pc Yang nc110 Samsung
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Nina simu aina ya htc inansumbua sana yani inajzma na kujiwasha kla wakat afu simu bdo ni mpya..what could be the problem..help tafadhali!
0 Reactions
4 Replies
822 Views
kadiri miaka inavyo ongezeka tunaona maendeleo ya teknolojia yanavozidi kukua :angry: na jinsi gani binadamu wanavyo jarbu kutengeneza vitu vyenye uwezo zaidi yao .so kwa mawazo yako kati ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna tatizo limejitokeza hapa leo wakati nawasha Pc asubuhi ikawaka hadi Windows ikaoneka lakini ghafla monitor ikajizima. Sijajua tatizo nini maana toka mda huo haijawaka tena ila kuna ka sauti...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
nna dell flat screen ina usb ports nne, nikiweka flash hazirespond kitu, sasa msaada wenu jamani zile ports zina kazi gani pale?
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hebu shuhudia namna ambavyo Boeing 767 ilivyoweza kupaa toka uwanja wa ndege wa Arusha. Japo ulikuwa mdogo bado kitu kiliweza kuinuka bila hata kumaliza runway! GONGA HAPA ILI KUWEZA KUIONA...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Nina mpango wa kununua simu tajwa hapo juu, katika pita pita zangu za kutaka kujua "user experience" za watumiaji wengine nikakutana na review ya mtandao mmoja wa wahindi (GSM...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Unaweza kunlock modem yako kwenye link hii www.lur.nu/unlock/
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mwenye Uelewa na Teknolojia ninayoweza tumia hapaa... lengo ni Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa... na kiwe kama chumba cha xperiments zangu..... . .
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kubypass winrar protected file au kama kuna programu ya kusaidia hili tatizo. Nimedownload movie mbili kutoka Movies Torrents - Download Free Movies Torrents, lakin...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom