Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nilitaka kuleta rant yangu kidogo na hili jukwaa ndo the closest related I can find, moderators mnaweza kuhamisha mada kama hapa si mahala pake Siku mbili zilizopita nilienda airtel kudai namba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
cc Chief Mkwawa Baada ya kumaliza second degreee nimeanzisha internet cafe ya pc 3.... Kaz hamna, nimejiajiri!! mwanzon nilikuwa natumia TTCL sasa imefeli, cna namna! cpati msaada wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Simu yangu inazimika bila sababu ya msingi,, hasa nikiwa natumia internet. Na kuna baadhi ya application nikiwa natumia zinanipa warning ya kuscan for virus,, mpaka sasa cjajua haswa nin tatizo.
0 Reactions
5 Replies
780 Views
Muda flani nyuma niliupload this video kwenye thread https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/558784-you-gotta-watch-this.html : Well niliahidi another better project coming...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii nadhani itafaa sana wakuu, hebu tumwangalie ni member gan amekuwa addicted, ktk Jukwaa hili, . Note : Usijipigie kula mwenyewe, -usipige kula mara mbili, -Usimpigie kula ambaye...
1 Reactions
137 Replies
9K Views
Wakuu, Baada ya kuvisit tovuti ya Main Page - Linux Mint na kusoma baadhi ya guide nimeamua ku-install na kuitumia. Lakini kabla ya yote nahitaji ushauri wenu kwanza. Kwa yeyote aliyewahi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau JF Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014.! Naomba nipate msaada kwa mwenye kujua.Nataka kuunganisha Internet ofisini kwetu kwa kutumia Router ambayo inatumia modem,lengo ni kuanza kutumia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
heshima yenu wanajamvi, ninaomba msaada wa driver au link nnayoweza download moja kwa moja driver za camera za hii notebook
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Wadau kuna tetesi kuwa TV za flat za LED za kampuni za LG na SUMSUNG hasa za Korea huwa zinarekodi picha na sauti unavyotumia nyumbani. Wanasema kuwa hukusanya taarifa za wadumiaji na kurudisha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Msaada wa Kupata software ya kuflash LG A 290 Cell phone
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Tanzania tuko digitali lakini hapa tuliwahi sana, kwani picha inavunjika vunjika ile mbaya hadi nashindwa sikiliza hoja vizuri. Hoja muhimu ya wakili wa utetezi ni haki ya kikatiba ya kupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa wapi ntapata software ya kuflash simu ya lg a 290
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Jamani wadau hizo ndio baadhi ya picha za ndege ya ethiopia iliyotua kwa dharura katika kiwanja kidogo cha ndege Arusha baada ya kushindwa kutua katika uwanja mkubwa wa KIA. Ki ukweli hii ndege...
3 Reactions
56 Replies
18K Views
Wakubwa naombeni msaada. Nimekuwa nikitumia modem ya voda ktk windows 8 ila kila wakati nikiconnect na inaconnect ila inasema limited internet, haionyeshi kuunga net kabisa? Hata nikiweka pesa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
I Created it today... Just keeping up the creativity. https://www.youtube.com/watch?v=XvFYhm7_MIk Second Project available here...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
naombeni tofauti kati ya Sumsung,sumsang na samsung
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya saa hii wakuu... Kwa wanaotumia bbm naomba msaada, nabadilisha dp (zaidi ya 10) ila watu walioko kweny contacts zangu wanasema hawaoni changes, dp wanayoiona wao ni ya mandela ambayo me...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Ndugu mdau na mtumiaji wa TUNNELGUGU ninayofururaha kukwambia kua kuanzia sasa vocha za tunnelguru za UNLIMMITED PLAN zitauzwa kwa shiling 7000/= kwa mwezi.na kama mtu akinunua kuanzia mbili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom