Nilikuwa nikituma SMS kwa Gmail (comp.)kutuma kwenda kwenye sim za mkononi kwenye mitandao ya Vodacom na Tigo,wiki ya pili sasa kila nikituma sms haziwafikii au wao wakinitumia hazinifikii shida...
jmn kuna m2 anaweza kunisaidia jinsi ya kupata hizi video card kwa ajili ya laptop yangu....nimezitafuta lakini kila duka nikienda naambiwa zmeisha au hakuna...sasa msaada if any?
Watu/mtu kwa wenye IP address hizi hapa chini wamejaribu kutaka kuingia/ku-log in kwenye website yangu (fadhilipaulo.com) mara 12 na mara zote wameshindwa lakini nimedaka IP address zao, je naweza...
Habari zenu wanajf. Mi sina utaalam sana kwenye masuala ya computer, nimepakua bittorrent na nikafanya installation ila sasa jinsi ya kuanza kutumia ndo nimeshindwa kabisa. nataka nipakue movies...
Naombeni kufahamu juu ya ili kuna simu inauwezo wa 2g je kuna uwezokano wa kuibadirisha iwe kwenye 3g na kama kunauwezakano naomba msaada jinsi ya kufanya hvyo.
habar zenu wakuu nadhani mnamkumbuka huyu bwana Steven Paul or wa eza mwita STEVE JOBS kwa mchango wake katika maendeleo ya teknolojia .ebu jaribu kushea nasi kutueleza unavyo mkumbuka steve jobs
wAKUU je naweza ku stream au kudownload .. bure natumia modem ya tigo nilinuu kifurushi cha mwezi so bundle for downloading & streaming zimeisha ...sasa naweza kubrowse tu je naweza ku apply some...
Híi kampuni ni mteja wao wa siku nyingi toka enzi za CELTEL. Kuna tatizo ambalo linawakumba wateja wengi (ikiwemo na mimi) la kutopata menyu yao ya "airtel yatosha" .
Nimejaribu kwa nguvu...
JF imekuwa ikitangaza shindano la vodacom Appstar challenge ambalo linafikia tamati hivi leo tarehe 18/12/2013 mjini Nairobi. Ajabu sijaona press release yeyote kutangaza washindi(local winners)...
Man cut off hand at work and searched for a surgeon for 7 hours; The surgeon attached it to his calf where there was a good blood supply;There have been about 20 such successful operations in all...
Hii ni kwa ndugu zangu wanaobeba simu nilizozitaja hapo juu na bado wanahangaikia kupata internet kwenye laptop zao kwa modems,ethernet nk bila kujua kuwa simu zao ni VIRTUAL ROUTER
Android...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.