Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hope mpo poa wadau, naombe msaada wa kupata GAMES kwa ajili ya watoto maana likizo hii wapo home so wanahitaji michezo ya Ndani muda mwingine. Shukrani kwa wote watakao nisaidia. Note: Ni za...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wana jf, naomba msaada jins ya ku connect sim na internet. nina sim yang aina ya samsung GT C3212i inanisumbua kwel ku connect internet. nashindwa kuelewa shida ipo wap, na kitu kingine kuna...
0 Reactions
5 Replies
958 Views
MSAADA wataalam, kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kugundua simu zinazopigwa toka simu nyingine na msg ukawa unazipata na kwenye simu yako kama zilivyo bila ya muhusika kujua…
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari wana JF naombeni mnisaidie katika hili.Natumia Huawei y300 tatizo linakuja inapata sana moto napoiweka kwenye charge na napoitumia hasa inapata moto kwenye betri.Msaada Tafadhali nifanyaje???
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu, My Galaxy S3 had a problem with its proximity sensors. when I make a call, put the phone to my ear, but then if I want to hang up the screen is dead and won't wake up. I cannot disconnect...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kila napojaribu kuingia katika baadhi ya website kama vile facebook uwa Napata ujumbe huu There is a problem with this website’s security certificate. The security...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
Wadau, kuna mdau aliweka thread kwamba, ana software yenye uwezo ku retrieve sms and etc ktk simu nyingine either mumeo,mke wako etc, naomba contacts zake
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natumaini mu wazima wa afya. Naomba mwenye link ya hiyo game tajwa hapo juu aniwekee hapa coz ninahitaji. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g. Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera. Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
nifanyeje jaman window yangu imeandikwa does not pass genuine kwa aliye na programe ya kuondoa anisaidie pia kuformat protected flash.jion njema wadau
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau wa hili jukwaa naombeni mwenye kujua link ambayo naweza kuitumia ili ni install google play store kwenye NOKIA E 5 anisaidie
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimeanza sumbuliwa na VPN yangu, yaan na connect moderm vizuri na line yangu ila ikifika kuconnect VPN yenyewe inagoma. Nataka kufaham tu kwamba hili tatizo ni langu tu au wote...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau kuna iPhone nimenunua kwa teja bei ya kutupa ila sina hakika kama orgnal au feki nilichojaribu by that time ni kutest speed ya internet nikaona iko poa ....wataalam nipen maujuz hapo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Mimi nyumba yangu nilipaka rangi speacial ya paa(roof paint) ya CORAL PAINTS. Ni mwaka sasa umepita tangu nipake rangi kwenye mabati ya nyumba yangu. Sasa hivi nimefunga gutters...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu Naomba msaada wa kiufund kwa wataalamu,nina simu yangu inagoma kabisa kufungua browser yake ,simu yenyewe ni blackberry 9700. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
0 Replies
834 Views
Rent and buy movies in Tanzanian shilling
0 Reactions
0 Replies
615 Views
KAMA KICHWA CHA HABARI WADAU NAOMBA KUFAHAMISHWA JUU YA TOFAUTI ZAKE NA IPI BORA ILI NIMCHUKULIE MWENZA wangu natanguliza shukrani waungwana.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
nifanyaje wadau maana namba nyingi ambazo hazijaanza na +255 nikipigigwa hazionyeshi jina
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa simu zenye android. Kuna hii kitu yaitwa Invi, ni rich media texting app, iko fun na free. Mfano ninapotumiwa breaking news za Jamiiforums, basi invi inaweza ikatoa preview...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu hii pc ikiwashwa inaleta black screen yenye maneno yafuatayo "power-on password" then kuna alama ya ufunguo.natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Back
Top Bottom