Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wadau! Simu yangu Nokia e71 haionekani kwenye computer nikiiconnect kwa usb lakini ukiangalia kwenye simu inasema ipo connected.... Sijajua tatizo nini! Kwa anaelewa naomba anisaidie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama Kuna mtu ambaye anafahamu link ya kudownload real football game 2013 cheats bila survey anisaidie natumia Simu ya android version 4.1
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuuu habari. naomba kwa anaejua bei ya simu hiyo. thanx in adv
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ni siku ya pili sasa tunnel guru yangu imekataa kabisa kuestablish connection, nimejaribu server zote bila mafanikio setting kila ktu kiko fresh na nilikuwa naitumia vizuri tu siku chache...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu nina external drive ambayo ina software yake ndani. Humo ndani ya hiyo software kuna security system ambayo niliitumia kuweka password. Sasa password nimesahau..kuiformat haikubali..help please.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau naomba kufahamishwa frequency za Mlimani Tv
0 Reactions
9 Replies
2K Views
According to a report in The Verge, the previously leaked, mysterious Nokia Normandy is an Android handset. Known internally under several different codenames, the device is said to be...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
tablet yang ina connect 2g network only ila nimejarb ku google nimekutana na kit kinaitwa 3g dongle na nimejarb kuchek kweny tablet yang nimeona ina support dongle huawei na zte nilikuwa naomba...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
wazee wa vpn mbona kimya sana inamaana hakuna tundu lolote lililogundulika huko duniani kama kuna maufundi yeyote mliyoyapata tunaomba mtupie hapo kati akina NJUNWA WA MAVOKO,PAJE,X800,MWL.RCT...
0 Reactions
79 Replies
10K Views
Nilikukuwa natumia computer yangu kuna jamaa yangu kaweka flash yake . Programe zote zikabadilika na kuwa katika format ya vlc sielevi nifanyeje.maana mbaya zaidi kuna programe ya my lockbox...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu naombeni msaada kiukweli napenda simu za android lakini naona android zote ni touch screen, kwahiyo kama kuna yeyote anajua cm za android ambazo zina batan za kawaida(ambazo si touch screen)...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
nina laptop aina HP G62 Notebook PC, kuna jamaa aliazima na kunirudishia baada ya siku 1. tatizo kila ninapo weka modem kwa ajili ya internet, kuna icon inajitokeza kila baada ya muda mfupi...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
How to turn any android device into an IOS 7 device12/15/2013 0 Comments Do you have an Android OS device?, would you like to give your device the look and feel of the new IOS 7?, If so, then...
1 Reactions
0 Replies
877 Views
Nime restore nokia asha 200 haikubaki tena kufungua browser pia nikienda ovi mail inafel na pia whatsap haionekani kwenye kudownload naombeni msaada nifanyaje wakuu
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeanza kupata hizi meseji kila ninapofungua youtube, Tatizo ni nini?
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Vipi wakuu wa Tech? Nina Dell yangu android ilikuwa inakaribia kukata chaji nikazima internet kwenye settings ili ku save charge kidogo. Ikiwa mfukoni nguo ikawa inachorachora zile pattern kuji...
0 Reactions
6 Replies
863 Views
Hatimaye washindi wa Appstar vodafone challenge wajulikana Vodacom App Star winners announced, to compete in Kenya | HumanIPO
0 Reactions
0 Replies
787 Views
wakuu habar za asubuhi,nnatumia simu ya Huawei u8650 but nikisave no.za simu inaniambia database full the contact can't be saved..but nikiangalia kwenye available space ya simu na line bado kabisa...
0 Reactions
4 Replies
970 Views
  • Closed
Za Mida hiii ndgu zangu, je kuna ndgu anayeweza fahamu special jf application kwa ajili ya tab zenye kioo 10.1.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKUU,POLENI KWA MAJUKUMU YA WAKATI WOTE. KUNA WAKATI HUWA NATUMIA SIMU KWA AJILI YA HUDUMA ZA INTERNET SASA KWA KIPINDI SASA KILA NIKITAKA KU-BROWS INANILETEA MANENO HAYA, _CONNECTION FAILED...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom