Wanajamii nataka kununua simu aina ya htc One V Pk 76130 ni nzuri. Tena naomba nisaidieni nawezaje kuangalia RAM yake na Processor? Nipeni mbinu hiyo wanajamii.
Simu yangu aina ya Nokia 210 ina matatizo lukuki kama ifuatavyo:
1. Inapoteza meseji
2. inagoma kufungua intenet
3. inapoteza majina na namba za watu
4. imepoteza app ya whatsapp
Naomba ushauri...
Salaam Wakuu wote humu jamvini!
Nimepata modem mpya Huawei E303 ambayo imefungwa ili itumike kwenye mtandao mmoja tu, sasa katika zama hizi za uhuru kwanini mtu ubanwe. Naomba msaada ku-unlock...
Nimekuwa nikiendesha magari ya automatic (sijui kwa manual gear) kwa muda mrefu,nimepata tatizo na hii ni mara ya pili kunitokea kwa gari tofauti,mafuta(Petrol) inapokuishia gari likiwa kwenye...
Ni simu mpya mtu katoka mayo nje ya nje, kila kitu Kiko fresh ila inapofika wakati unaiweka kwenye charge ikiwa on inakua kama mtu abaibonyeza bonyeza. Mara ifungue camera ipige picha ifunge, mara...
Kwa wale wanaotaka kudownload torrents kwa kutumia download manager kama IDM, wanaweza kwenda kwenye hii link:
Torrent2IDM.
Hakuna kikomo kwenye download speed na files zako zitatunzwa kwa mwezi...
Anyone with Linux project working with SMSLib ?
I'm too lazy to download all stuffs and put them together so I need a ready bundled working Netbeans Project
If you want to help just put it in...
SALAMA WAKUU, simu yangu (Samsung Duos GT-56102) mssg ikiingia unasikia na kwenye screen inaonekana inbox lakini unapoifungua haionekani wala kufunguka sasa zinaonekana kwenye screen...
what we have for this...
1. Certified Instructors
2. Hands-on practical on real cisco devices
3. Flexible support to those who miss classes and require private use of our Lab
4. Centralized...
Mwanangu kafuta channel zote kwa kubonyeza factory default,natumia receiver ya media com MFT-930+ ninaomba mnielekeze namna ya kuzirudisha upya izo channel.
mobile choice ya uingereza ni kampuni kubwa ya mambo ya gadget so wameandaa tuzo za simu na kila kampuni imepata inchostahili. tuzo hizi imezitoa simu zilizotoka mwaka huu mwishoni kama iphone 5...
Habari wadau,kuna tatizo kwenye laptop naomba kama kuna mtu alishawahi kukutana nalo au anajua jinsi ya kulitatua anisaidie.
Kuna laptop drive "C" imekuwa na rangi nyekundu kuonyesha kwamba imejaa...
Wadau kuna jamaa anataka tubadilishane laptop Dell latitude E6400,ina RAM 1GB,HD 230,na ya kwangu ni Dell latitude 630,RAM 1GB,HD 80GB,anasema nimuongezee na alfu hamsini,so nishaurini wadau ubora...
Sony wana develop Smartwig, wig ya kuvaa kichwan, ila itakua inabeba computer ya kukusaidia kwenye kutembea, directions, presentations nk
Microsoft nao wanadevelop a Smartbra, ili kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.